Jinsi akina mama walivyo na uwezo wa kujenga na kubomoa familia

Tangu nimekuwa baba wa watoto na ninayokutana nayo kwa mama zao namheshimu Sana baba yangu hata Kama alishafariki.!!
Huwezi kutambua hili Kama hujawa na familia.
Wanaume tunahangaika Sana kwa interest za familia(mke na watoto wake) kumbe pembeni wanakuona mzushi tu.
Watoto wamejazwa ujinga na mama yao!!
Ni wanawake wachache Sana wanaoelewa lile analolifanya mumewe.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupanic kwasababu ya hizi hekaya za JF.
Nimejaribu tu kukupa somo fulani maana inaonekana ni mmoja ya wale waliokariri elimu feki ya haki sawa kutoka Beijing..
Ungejuaaa hahah
Panic at ur own risk though!.
 
Tangu nimekuwa baba wa watoto na ninayokutana nayo kwa mama zao namheshimu Sana baba yangu hata Kama alishafariki.!!
Huwezi kutambua hili Kama hujawa na familia.
Wanaume tunahangaika Sana kwa interest za familia(mke na watoto wake) kumbe pembeni wanakuona mzushi tu.
Watoto wamejazwa ujinga na mama yao!!
Ni wanawake wachache Sana wanaoelewa lile analolifanya mumewe.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
tupe mfano hata mmoja mzee tujifunze kitu
 
Vijana wa kiume inabidi tuwaheshimu sana baba zetu, maana nimejifunza mengi sana kutoka kwa wazee kadhaa. Mimi ni mkristo ila kwa kweli lazima niwe na wake hata watatu au zaidi. Mana mke niliyenaye siku hizi anaongea kama radio mpaka huwa naamua kukaa kimya au kusepa narudi nimelewa. Nikiangalia umri wangu najikuta kwanza nimewahi kuoa
 
stay single as long as you can.upo kwenye ndoa kwa muda gani?
 
siangalii changamoto.naangalia happy life.mwanamke nimtolee mahari,nimuhudumie, nisaidie wazazi wake, nisaidie mashemeji wake,nimpende,nimjali,nimpe muda wangu.then mimi napata faida gani?? just pussy? pussy yenyewe mwanamke hakupi kila siku mara amechoka,mara hajisikii,ila mimi natakiwa kumuhudumia kila siku bila kuchoka.hiyo biashara kichaa huwa sifanyi.hapo bado hajakukera bado hajakuudhi,bado hajakugombanisha na ndugu zako,bado hajakuletea mtoto wa nje. mimi nazalisha tu kuolewa akaolewe kwingine.nimeshazalisha watatu mwaka huu nazalisha mwingine.bata tu no stress

Kwa sasa wakati wa ujana no stress ila fainali uzeeni.
 
Vijana wa kiume inabidi tuwaheshimu sana baba zetu, maana nimejifunza mengi sana kutoka kwa wazee kadhaa. Mimi ni mkristo ila kwa kweli lazima niwe na wake hata watatu au zaidi. Mana mke niliyenaye siku hizi anaongea kama radio mpaka huwa naamua kukaa kimya au kusepa narudi nimelewa. Nikiangalia umri wangu najikuta kwanza nimewahi kuoa

Hao watatu unaowataka ni wanaume? Kama ni wanawake mbona ni wale wale tu. Huyo mmoja kakushinda unataka kuongeza matatizo mengine ? Maana huyo kakushinda hao watatu watakuua kabla ya wakati bado watoto wako wenyewe wakuchukie maana wanajua mama yao hapendwi. Looh kuna babu yangu ana wake watatu sasa hivi kabaki na shamba boy tu maana si wake si watoto hakuna anayemtaka.
 
Wa kulaumiwa ni wazungu walioharibu Dunia kwa :

(1)Ishu ya kuoa mke mmoja na wakaiaminisha dunia kuwa huo ndio mpango wa Mungu na serikali nyingi na dini hasa ukristo ukawa una sheria za mke mmoja ndiye halali.
(2) Kuleta masilaha ya maangamizi kama Nyuklia.
(3) Kuleta magonjwa kama Ukimwi na Ebola.
(4) Kuleta silaha ya kuvuruga Familia na malezi kwa Kuleta usawa kati ya mwanaume na mwanamke na mtoto lakini sio Usawa wa Katika sheria Bali kudai haki sawa kwa maana ya kifamilia zaidi.
(5) Kuleta silaha ya wanawake kushika Dola na kuwatawala wanaume.
(6) Kuleta silaha ya upendeleo kwa mtoto wa kike kwenye Elimu. Baadae wanaume wengi watakua hawana nafasi kwenye uchumi hivyo wengi watakua na msongo wa mawazo na kupoteza nguvu za kiume. Wanawake wengi wataishi single na kutafuta mwanaume mmoja mwenye nguvu za kiume na fedha awazalishe na kuwapiga shoo tuu.
Lengo la shetani kupitia wazungu litatimia. Watoto wa kiume watakua mashoga mana watakua dhaifu mana hawana ajira wala fedha wala nguvu za kiume.
Wanawake wengi watamilikiwa na mwanamme mmoja kwa njia haramu na ya kificho. Badala ya njia halali iliyokuwepi ya kuoa ndoa kama wanavyofanya waarabu kihalali na kwa wazi.

(6) Kuleta janga la Covid 19.

Wengine wa Kulaumiwa ni Waislam na Wakristo wa Kweli kushindwa kufundisha jamii uzuri Uliopo kwenye vitabu vya dini kuhusu jamii na majukumu ya Mwanamke na mwanaume na taratibu zake . Shetani akawa ameuteka ulimwengu kupitia Mwanamke na tamaa zake.

Ni wajibu wa Wanaume sasa kuwafundisha watoto na jamii nzima juu ya majukumu makubwa ya Baba kwenye kulea na kupigania familia yake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeongea pointi muhimu sana. Hata hivyo si wengi watakaokuunga mkono. Angalia sasa hivi kila nyimbo na kumbukumbu nzuri ya maisha anapewa mama. Utasikia kila mtu "hakuna kama mama duniani". Hii dhana inawadhulumu sana wababa ambao kwa kweli ndio wahudumiaji wakuu wa familia.

Back
Top Bottom