Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,245
- 17,979
Duuuuh!!Mkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika...

Aiseee!!!!Mkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika.....
Kojoa mkojo Wako asubuhi mkojo fresh, kwenye chombo kisafi, Kisha weka mdomoni sukutua mdomoni kama dakika 1, tema Kisha weka mwingine, fanya kama mwanzo Kisha tema, Mara ya tatu unaweza sukutua dakika 2 mpaka 3, fanya hivyo kwa siku 3....
Utakuja kunambia hapa, haitatibu tu hilo jina ila hakutakua tena na tatizo la jino, haina haja kung'oa...
Kumbuka kila asubuhi unatakiwa mkojo fresh!!!
Mkojo ndio dawa kiboko, Mzizi mkavu ataongezea.Aisee sasaa ntakoma maana ntaaguziwa kila dawa ni sina ujanja
Hiyoo dawa imeongelewaa na watu wengi sana sio wa humu jukwaani wa nje kuwa ni dawa nzuri ya jinoJamni msininyweshe mikojo buree jamani, nsipopona mtaniambia nile na naniliii kidogo
Jamaniiii!!!!!!!!
Mkuu Vp Jino hali yake sasa, Leta mrejeshoJamni msininyweshe mikojo buree jamani, nsipopona mtaniambia nile na naniliii kidogo
Jamaniiii!!!!!!!!
Umesema ukweli Mkojo ni dawa tosha ya meno mimi mwenyewe nimewahi kuifanya hiii dawa mwaka 2011 sijaumwa tena na maradhi ya meno ninashukuru mkojo wangu mwenyewe umenisaidia kutibu maradhi ya meno.Mkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika.....
Kojoa mkojo Wako asubuhi mkojo fresh, kwenye chombo kisafi, Kisha weka mdomoni sukutua mdomoni kama dakika 1, tema Kisha weka mwingine, fanya kama mwanzo Kisha tema, Mara ya tatu unaweza sukutua dakika 2 mpaka 3, fanya hivyo kwa siku 3....
Utakuja kunambia hapa, haitatibu tu hilo jina ila hakutakua tena na tatizo la jino, haina haja kung'oa...
Kumbuka kila asubuhi unatakiwa mkojo fresh!!!
Mm kidogo imenisaidia kuna jino limeisha kabisa ila nikachukua ule mkojo wa asubuhi nikasukutulia aisee saiv kidogo sisikii maumivuTumia mkojo kusukutulia jino.
inatibu kweli hata mm nimetumiaMkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika.....
Kojoa mkojo Wako asubuhi mkojo fresh, kwenye chombo kisafi, Kisha weka mdomoni sukutua mdomoni kama dakika 1, tema Kisha weka mwingine, fanya kama mwanzo Kisha tema, Mara ya tatu unaweza sukutua dakika 2 mpaka 3, fanya hivyo kwa siku 3....
Utakuja kunambia hapa, haitatibu tu hilo jina ila hakutakua tena na tatizo la jino, haina haja kung'oa...
Kumbuka kila asubuhi unatakiwa mkojo fresh!!!
Duuh... Ni kweli??Mkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika.....
Kojoa mkojo Wako asubuhi mkojo fresh, kwenye chombo kisafi, Kisha weka mdomoni sukutua mdomoni kama dakika 1, tema Kisha weka mwingine, fanya kama mwanzo Kisha tema, Mara ya tatu unaweza sukutua dakika 2 mpaka 3, fanya hivyo kwa siku 3....
Utakuja kunambia hapa, haitatibu tu hilo jina ila hakutakua tena na tatizo la jino, haina haja kung'oa...
Kumbuka kila asubuhi unatakiwa mkojo fresh!!!
Mkuu limepona?Wakuu nawasalimu,
Kwakweli usiku umekuwa mgumu sana kwangu, jino, Wataalamu wa meno bado niliowaona bado hawana majibu zaidi ya kuling'oa,
Ina maana dactari wa meno wanasomea kung'oa tu meno na siyo kutibu? Kwa kifupi tuseme wadudu wa meno ni kati ya magonjwa sugu duniani sawa na HIV, n.k?