Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,775
- 994
Dawa ya Jino ni kung'oa!
Na dawa ya kichwa ni kukata kichwa
Dawa ya Jino ni kung'oa!
ww huumwi unapat nafac hat ya kutupia vibonzo km hv
Na dawa ya kichwa ni kukata kichwa
Kwa ulichoandika Ina maana yule Mzee gonjwa atadondokea pua?...ha ha ha pole kwa kuumwa mkuu..Ubarikiwe Kwa Hii Tiba Yako Uliyonipa Na Leo Nashindwa Hata Kuwaiteni POPOMA Kwani Mnaweza Mkanisusia Kunipa Tiba au Hata Mkanipa Tiba Siyo Nikanywa Na Nikajifia Zangu Kabla Hata Ya Kumuona John Magufuli au Samuel Sitta au Profesa Mark Mwandosya Na Profesa Sospeter Muhongo Mmoja Wapo Wakipitishwa Rasmi Leo Na CCM Katika Zile 5 Bora Kisha Jumamosi Wakabakishwa Samuel Sitta, Dr. John Magufuli Na Professor Mark Mwandosya Na Hatimae Tukampata Mmoja Wapo Hapo. Nisaidieni Jamani Na Tiba Ili Nipone Tatizo Langu Hili La Jino Ili Niyashuhudie Hayo Huku Nikiwa Mzima Wa Afya.
Akhsante Sana Mkuu Na Ubarikiwe Kwa Msaada Wako Huu Mkubwa Kwangu Kwani Maumivu Ninayoyapata Yanazidi Hata Ya Wale Watia Nia CCM Watakaoondolewa Leo Dodoma Akiwemo Nanihiiiiiiiiiiiii.
Kwa ulichoandika Ina maana yule Mzee gonjwa atadondokea pua?...ha ha ha pole kwa kuumwa mkuu..
tumia amoxline full dose kwa siku saba lipende lisipende lazima litulie.
Dawa ipo nichek 0719 252523
Tafuta hii kitu inaitwa ndulele( sijui kwingine inaitwaje)kata katikati weka kwenye sufuria na maji kiasi pamoja na ndimu chemshsa .Imishachemka ikapoa waeza sukutua kwa mda wa siku utakazopenda.
Mkuu jitahidi kuswaki kila baada ya mlo.Na ukipiga baada ya kula usiku na kuswaki, usile kitu chochote usiku huo.Kwa sasa nenda famasi ukanunue syrup tunaita medi oral.Namna ya kutumia utasoma kwenye kasha.Utasahau matatizo ya meno.By Pastor Achachanda
Asante sanaa mkuu ,, nimejaribu hii ndulele jioni ya leo,,, jino limetuliaaa kabisaaa,, asante sana mkuu umanisaidia sanaa nilikuwa hata sitamani kung'oa jino langu,, ubalikiwe sanaa...