Jino lako linakusumbua!

Jino lako linakusumbua!

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,971
Ass5LwqF1GeQv5OWggul_N-rB4fQUKq4zgNQF8V1I8IF.jpg
 
Mganga wa meno hapo lazima niombe udhuru wa kwenda jisaidia, ukinipa nafasi hiyo ujue nimekuacha mheshimiwa mganga.

Bora lawama kuliko fedheha
 
Anachonga mwanya, du tulionao rsha eeh!
 
Habari wadau

Nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya jino kwa miezi kadhaa sasa, nimekwenda hospitali mara mbili kucheki kama jino lina tatizo mara ya pili nililazimika kupigwa X-Ray ya kinywa lakini majibu ya Dr yalikua Jino langu halina shida wala halijatoboka hvyo akanipa dawa ambayo kwa mujibu wa maelekezo ya Dr ingesaidia kulinda fizi.

Nimetumia dawa hizo hadi kumaliza bila mabadiliko yoyote, bado nasumbuliwa na maumivu ya jino hasa ninapokula/kunywa vitu vya moto au baridi.

Naomba kama kuna dawa mbadala mnijuze.
 
Habari wadau
Nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya jino kwa miezi kadhaa sasa, nimekwenda hospitali mara mbili kucheki kama jino lina tatizo mara ya pili nililazimika kupigwa X-Ray ya kinywa lakini majibu ya Dr yalikua Jino langu halina shida wala halijatoboka hvyo akanipa dawa ambayo kwa mujibu wa maelekezo ya Dr ingesaidia kulinda fizi.
Nimetumia dawa hizo had kumaliza bila mabadiliko yoyote, bado nasumbuliwa na maumivu ya jino hasa ninapokula/kunywa vitu vya moto au baridi. Naomba kama kuna dawa mbadala mnijuze.

Unakumbuka Nani Labda Ulimng'ata Mara Ya Mwisho?
 
Tumia Mikojo, hutibu Maumivu ya meno milele na milele., mm ilinsaidia sana
 
Tumia Mikojo, hutibu Maumivu ya meno milele na milele., mm ilinsaidia sana

Mikojo ya nini mkuu? binadam wanyama.? au..?
Na je wewe ilikuaje? Jino lako lilitoboka au ni maumivu tu kama nilivyoelezea hapo juu?
 
Nawasalimuni wote Members Wenzangu humu na natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu yenu.

Jamani mwenzenu tokea Jjna usiku nimekuwa nikisikia maumivu ya jino hasa lile la mwisho nadhani kwa kiswahili linaitwa GEGO .

Naomba kama nimekosea nirekebishwe, ambapo nasikia maumivu makubwa mno haswa katika sehemu ya hilo jino la mwisho na lile nyama ngumu kule mwishoni.

Na hata nikipashika kwa kuweka kidole panauma sana na siyo siri leo usiku sijalala vizuri hadi sasa hivi nasikia maumivu makubwa.

Kabla sijachukua uamuzi wa kwenda kumwona daktari naamini humu JF ni zaidi ya Hospitali na kuna watu wengi humu wenye utaalamu wa kitabibu na hata kitamaduni pia hivyo kwa heshima na taadhima twekew utani pembeni.

Naomba mnisaidie nini cha kufanya ili mwenzenu niweze kuwa vizuri na nitawashukuruni nyote na mbarikiwe pia.

Akhsanteni.
 
Mkuu jitahidi kuswaki kila baada ya mlo.Na ukipiga baada ya kula usiku na kuswaki, usile kitu chochote usiku huo.Kwa sasa nenda famasi ukanunue syrup tunaita medi oral.Namna ya kutumia utasoma kwenye kasha.Utasahau matatizo ya meno.By Pastor Achachanda
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jitahidi kuswaki kila baada ya mlo.Na ukipiga baada ya kula usiku na kuswaki, usile kitu chochote usiku huo.Kwa sasa nenda famasi ukanunue syrup tunaita medi oral.Namna ya kutumia utasoma kwenye kasha.Utasahau matatizo ya meno.By Pastor Achachanda

Akhsante Sana Mkuu Na Ubarikiwe Kwa Msaada Wako Huu Mkubwa Kwangu Kwani Maumivu Ninayoyapata Yanazidi Hata Ya Wale Watia Nia CCM Watakaoondolewa Leo Dodoma Akiwemo Nanihiiiiiiiiiiiii.
 
pole sn kaka,pia anza kuswaki kwa dawa inayoitwa SENSODYNE, kuanzia leo,mimi nilikuwa mhanga wa meno,nikang'oa meno sita,toka nimeanza kutumia dawa hiyo leo miaka mitano,sijasikia wala kuhisi maumivu ya meno,tumia hiyo kisha ulete mrejesho kesho apa janvini,Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom