Jini wa daraja la Salendar

bibie kuberwa Usigope zima taa omba mungu hiyo ni hadithi sio kweli ondosha wasiwasi muombe Mungu atakusaidia tu.
MziziMkavu hadithi zingine banaa...........nimetamanije ningepata mume ambaye ni kakake na Balkis! kumbe wanakuwaga na roho nzuri na upendo hiviiiii!!!! LMAO (wasjustthinking)
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu hadithi zingine banaa...........nimetamanije ningepata mume ambaye ni kakake na Balkis! kumbe wanakuwaga na roho nzuri na upendo hiviiiii!!!! LMAO (wasjustthinking)

si ajabu ni member humu atakuwa amesikia ombi lako!we suiri tu PM itakayokuja na manukaaato mazuuuuriiii!
ujue ndo yeye!usininyime japo u maid of honor kwenye harusi!
si shem atanifundisha kutembee juu ya maji banaaaaa!kwani nini!chezeya kupakwa mafuta maeneo!aahahahhahhah ah
takusindikiza shosti!ukajilie mijiraha!

uuuwih MI SIJASEMA BANA!nilikuwa natania tu!
 
hahahahaaaa umenifanya nicheke kwa nguuuuvu!!!
ntakukumbuka my dear tena wee ukishafuzu kutembea juu ya maji ndo unakuwa wa kuninyunyizia uturi ule wa kunukiaaaa.......mpk humu mmu!

ila kasheshe yao watakaokuwa wananimendea sasa sijui watageuzwa nini walahi.......paka wa bar au mijikunguru (funza, mnyoo) cant imajini..................



 
yani ananirusha roho hapa nna kazi ya kuizuia isitoke! MziziMkavu nihurumie jamani mie na amu huku tunawewesekaje...........

mwenzako ndo namailizia imenipa company leo.Nimegundua ntakuwa nasubiria iishe ndo nsome
 
Last edited by a moderator:
Boss siku akijua over time( ot) yote inatokana na hadith za mzizimkavu,,lazima kibarua kiote nyasi..kazi namaliza saa kumi lakini kazini natoka saa moja,,,,big up sana mkuu
 
Haya tena mpya wezangu hivi hiz mitandao ya kijamii kila mmoja unashida zake.kama ni Facebook bas waweke huduma hiyo siyo hivi sasa mara utaskia wathsap ,tango,viber,pamchat na nyigine nyingi mtanisaidia. sasa hii ni biashara au Nini??????.watanzania tuwe macho tunaibiwa.kazi hatufany kwa ajili ya biashara ya mchina kila siku tunachat wakat wenyewe wanatengeneza pesa .:/? WACHINA MPO MNIPE JIBU .
 

Daaaaaa safi sana mkuu..mimi na swali kiduchu kuna sehemu katikati ya hadithi nimeona wazazi wa balkis wanadai binadamu kapewa uelewa mkubwa kuliko jini kwenye upande wa uhalisia kuna ukweli wowote hapo..
 
Daaaaaa safi sana mkuu..mimi na swali kiduchu kuna sehemu katikati ya hadithi nimeona wazazi wa balkis wanadai binadamu kapewa uelewa mkubwa kuliko jini kwenye upande wa uhalisia kuna ukweli wowote hapo..
Ndio Mkuu LEONELL Binadamu kapewa uwezo Mkubwa na Mwenyeezi Mungu kuliko Jini.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…