Jaman ndugu zangu JF naomben msaada nna mpenz wangu ambaye nampenda sana ila mara nyingi nkikutana naye huwa kisiran sana namuuliza n tatizo ananijibu jeuri na kuna wakati ananiambia kuwa c yy bal anahic kwamba anajini mahaba ndo anamfanya awe ivyo Naitaj msaada wenu wana JF.
Dalili ya mtu mwenye jini mahaba na pepo mchafu hizi hapa chini.
1.kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto na ya dhahiri.
2.dalili za dhahili.
a.kizunguzungu.
b.vitu kutembea tumboni.
c.vicheza mwilini.3
d.kichwa kuuma mara kwa mara.
e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.
f.kupiga mihayo sana.
g.macho kukosa aibu.
h.hasira za mara kwa mara.
i.kupoteza kumbukumbu.
j.ugomvi wa mara kwa mara.
k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.
l.kuhisi baridi mara kwa mara.
m.kutojisikia kuongea hasa wakati unapossemeshwa na mtu unaona kama
anakusumbua.
n.masiko kupiga kelele.
o. Kuhisi vitu vinaongea masikioni.
p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.
q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.
r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.
s.kufungika kwa kizazi.
t kustuka stuka
u.moyo kuongoka sawa na mtu mwenye presha.
v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini.
w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.
x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza.
y. Kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.
z.kuhisi manukato au harufu mbaya.
aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.
bb.mimba kupotelea tumboni.
cc. Kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.
dd.kifafa.
ee.kichaa.
ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa
tendo la ndoa.
3.dalili katika ndoto.
a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.
b.ndoto za kuota unajifungua.
c. Kuota unapigwa.
d.ndoto za kuogelea.
e. Ndoto za kupaa.
f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.
g. Ndoto za kuota umeoa au umeolewa.
h.kuota umevalishwa pete au mkufu.
i.kuota unapigana.
j.kuota unapiga kelele.
k.kuota moto mkubwa.
l. Kuota unazika.
m.kuota umekufa.
n.kuota unafukua kabuli.
o.kuota sherehe mara kwa mara.
p.kuota unaongea na watu waliokufa.
z.kuota unaona visuguu.
aa.kuota unaona mafuvu wa watu.
bb.kuota unapiga ramli.
cc.kuota unavaa bangili au shanga.
dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.
ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe..
ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe
na kitambaa cheupe.
gg.kuota vijumba vya mizimu.
hh.kuota vibuyu.
ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.
kk.kuota watu wamevaa kanzu .
hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa
kwa ufupi .na pia namuomba mwenyezi mungu aendelee kunipa fahamu ili niendelee
kuwaelimisha na kuwafundisha mambo mengi ya kuwatambua majini kwa njia za
njozi pia kwa njia za dhahili.watu wengi wanasumbuka na mashetani ,mizimu,majini,
maiti lakini hawajitambui sasa nahitaji kuwapa elimu ili muweze kufaidika nazo.
na pia nawafundisha dawa kwa ajili ya huduma ya kwanza.asante yenu
itanisababisha kazi yangu kusonga mbele hii ni moja ya sadaka.
kwa sasa majini ndio wanaongoza kwa kuwatesa watu ,na kuwatia nuksi,nakuwafilisi ,pia na kuvunja ndoa za watu.
MATIBABU Wasiliana na Mimi kwa njia ya Email baruwa ya pepe Nitumie Email Address yangu hii
fewgoodman@hotmail.com
lazma utajikuta unaangukia kwenye moja wapo.khaa dalili zote hizo
siyo majini ya siku hizi.....yanapenda sana kitimoto.mlishe kitimoto huyo.. jini litamtoka
siyo majini ya siku hizi.....yanapenda sana kitimoto.
Cha siku hizi sio originalπππ
inawezekana aiseee mana unakipiga kwa wiki mara 3 ila hauoni lolote.Cha siku hizi sio original
Kama ni kweli hilo Jini Mahaba limeondoka na wana ndoa hawana hamu ya tendo la ndoa wale kwa wingi haluwa na maziwa moto watakuwa na hamu ya tendo la ndoa wote wawili.Mi leo niulize swali, mwanamke anawezaje kuondoa athari za jini mahaba!! Kwa mfano kabla hajaingiwa na jini mahaba alikuwa anaweza kukutana na mumewe kwa siku mara zaidi ya mbili (vijana wanasema bao mbili au tatu na kuendelea)!!
Huyu mwanamke baada ya kupata jini mahaba, yule jini si anaweka sumu zake baina ya hao wanandoa wawili ili wasiweze kukutana kimwili! Sasa jini limetolewa na zile dalili zote za jini kwa huyu mwanamke zimetoweka lakini ule uwezo wa kukutana mara nyingi nao umetoweka!!
Wakipigana kimoja ndiyo doroo hadi kesho yake, kifupi tendo la ndoa halijarudi kwenye raha zake.
Wafanayaje hawa wanandoa waweze kurudi vizuri?? Msaada wenu mshana jr na MziziMkavu
Kwa hali hii basi wote tuna hayo majini.khaa dalili zote hizo