Jini mahaba ni mpuuzi sana wakuu!

Jini mahaba ni mpuuzi sana wakuu!

Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha kuja.

Kipindi fulani nikaja kufungwa jela. Sasa, kule sikuwa na wa kufanya naye mapenzi, ndipo nikawa natamani kufanya naye, lakini yeye wala hakutokea hadi siku nilipoachiwa huru.

Eti, baada Mimi kurudi uraiani akawa ananijia tena, nyambafu sana yaani!

Kitu usipokipenda kinakupenda, ukiwa unakipenda hakikupendi šŸ¤”.
Embu kuwa serious bwana, sasa hivi bado upo kwenye ndoa na bado anakusumbua?
 
Hivi ukiota uko unafany mapenzi na uanze kuongea lugha haielewek kam vile unanena kwa lugha mpk unakuj kushtuka (kumbe na Ota) hii kweny kuongea lugha iyo imekaaj kaaje?

NOTE: cjawah elew iliwezekanaj kuongea lugha iyo na haijawah nitokea tena
Mshana Jr msaada kam utawiwa kunielezea hii kiongoz
 
Embu kuwa serious bwana, sasa hivi bado upo kwenye ndoa na bado anakusumbua?
Bado niko kwenye ndoa. Jini mahaba hanisumbui tena maana nilimkataa mazima tangu alipoanza kunishobokea mara baada ya kutoka jela.

Nilitambua kuwa rafiki wa kweli ni yule wa kwenye shida na Raha, bibie Jini mahaba kwenye shida aliniacha peke yangu.
 
Hivi ukiota uko unafany mapenzi na uanze kuongea lugha haielewek kam vile unanena kwa lugha mpk unakuj kushtuka (kumbe na Ota) hii kweny kuongea lugha iyo imekaaj kaaje?

NOTE: cjawah elew iliwezekanaj kuongea lugha iyo na haijawah nitokea tena
Mshana Jr msaada kam utawiwa kunielezea hii kiongoz
Ngoja waje...
 
1000114986.jpg
 
Back
Top Bottom