Jini mahaba chanzo cha wadada wengi kutoolewa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Wakuu,

Nimesimuliwa na rafiki yangu aliyeteswa na jini mahaba zaidi ya miaka 32...

Yawezekana umewahi sikia kuhusu jini mahaba...mimi pia nilikuwa nikisikia watu wakimueleza na namna anavyomuoa mdada bila yeye kujua.

Pia majini mahaba ambayo huwa na mahusiano na wadada na wanajua hata hufurahia kuwa nayo.

Inasemekana jini huyu mara nyingi humpenda mdada na kuanza kumfuata katika ndoto.

Kisa kipo hivi...

Rafiki yangu anasema wakati akiwa amelala usiku alikuwa akiota ndoto za kufanya mapenzi.

Anasema mwanzoni aliona ni kawaida, ila aliumia tu....maana alikuwa anapata mwanaume lakini anamuacha.

Anazidi kueleza pia ilifika wakati miaka ilienda ila hana mahusiano ya kudumu.

Hadi ndugu na watu wa karibu wakawa wanamuuliza mbona huolewi na uzuri wote huo?

Ananiambia aliumia na kulia alisali ila wanaume walizidi kumjia wakitembea nae na kumuacha...hadi ilifika wakati wanasahau wanamtongoza upya.

Na kuna wakati wale wa zamani waliomuacha wanamjia na kutaka kutembea nae tena ...maana wengine walioa na wengine bado.

Jinsi jini mahaba alivyomjia ndotoni...

Wakati anamjia katika ndoto huota kama anafanya mapenzi na ndugu yake wa kiume au wakati mwigine rafiki wa karibu wa kike au wa kiume.

Ndoto hiyo humfanya afurahie na baada ya kushtuka ndotoni hujiona amefika kileleni.

Wakati mwingine huota ndoto ya kuona utupu wa mwanaume na sio sura ya mwanaume.

Anasema ndoto nyingine huota akiwa yeye na mwanamke mwenzie wakisagana.

Baada ya kushtuka ndotoni moyo wake hujuta na kulia sana...

Anasimulia zaidi akisema...dalili nyingine aliyokuwa nayo ni hamu ya tendo la ndoa lililopitiliza na wakati mwingine kujichua.

Anadai kuwa alikuwa hana tofauti na kahaba kwani idadi ya wanaume aliolala nao hakuikumbuka...

Alihangaika sana lakini hakujua chanzo
cha matatizo...

Kama ilivyo Mungu husikia vilio vya watu wake...alisikia kilio chake na baadae akaja kuombewa na kujulikana na jini mahaba...akapona

Sasa amepata mchumba....tunasubiri ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyi takwimu za uchache wa wanaume in terms of idadi, homosexuality, impotency, na wengine kushindwa kuoa kutokana na uchumi ni kijinga na ukweli ni kwamba tatizo ni jini mahaba?
 
Wakuu,

Nimesimuliwa na rafiki yangu aliyeteswa na jini mahaba zaidi ya miaka 32...

Yawezekana umewahi sikia kuhusu jini mahaba...mimi pia nilikuwa nikisikia watu wakimueleza na namna anavyomuoa mdada bila yeye kujua.

Pia majini mahaba ambayo huwa na mahusiano na wadada na wanajua hata hufurahia kuwa nayo.

Inasemekana jini huyu mara nyingi humpenda mdada na kuanza kumfuata katika ndoto.

Kisa kipo hivi...

Rafiki yangu anasema wakati akiwa amelala usiku alikuwa akiota ndoto za kufanya mapenzi.

Anasema mwanzoni aliona ni kawaida, ila aliumia tu....maana alikuwa anapata mwanaume lakini anamuacha.

Anazidi kueleza pia ilifika wakati miaka ilienda ila hana mahusiano ya kudumu.

Hadi ndugu na watu wa karibu wakawa wanamuuliza mbona huolewi na uzuri wote huo?

Ananiambia aliumia na kulia alisali ila wanaume walizidi kumjia wakitembea nae na kumuacha...hadi ilifika wakati wanasahau wanamtongoza upya.

Na kuna wakati wale wa zamani waliomuacha wanamjia na kutaka kutembea nae tena ...maana wengine walioa na wengine bado.

Jinsi jini mahaba alivyomjia ndotoni...

Wakati anamjia ktk ndoto huota kama anafanya mapenzi na ndugu yake wa kiume au wakati mwigine rafiki wa karibu wa kike au wa kiume.

Ndoto hiyo humfanya afurahie na baada ya kushtuka ndotoni hujiona amefika kileleni.

Wakati mwingine huota ndoto ya kuona utupu wa mwanaume na sio sura ya mwanaume.

Anasema ndoto nyingine huota akiwa yeye na mwanamke mwenzie wakisagana.

Baada ya kushtuka ndotoni moyo wake hujuta na kulia sana...

Anasimulia zaidi akisema...dalili nyingine aliyokuwa nayo ni hamu ya tendo la ndoa lililopitiliza na wakati mwingine kujichua.

Anadai kuwa alikuwa hana tofauti na kahaba kwani idadi ya wanaume aliolala nao hakuikumbuka...

Alihangaika sana lakini hakujua chanzo
cha matatizo...

Kama ilivyo Mungu husikia vilio vya watu wake...alisikia kilio chake na baadae akaja kuombewa na kujulikana na jini mahaba...akapona

Sasa amepata mchumba....tunasubiri ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
We sema alienda kwa mganga wa kiafrika akamtibu acheni kila kitu kusingizia kuombewa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yapo kweli.Ubaya ni hadi yakukute au yamkute mtu wako wa karibu ndio utaamini.

Hii haina tofauti na wale wanaoshindwa kufanikiwa kielimu au kimaisha kwasababu za kishirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa Mada Si Ukubali Ni Wew Tu Maana Ulipotea Humu Kurudi Tu Unatutangazia Kama Unaolewa Kwa Style Ya Jini Mahaba
 
Donatila huu uzi umenikumbusha binti fulani wa kabila fulani ambaye yeye alifanyiwa tambiko na kukabidhiwa kwa mizimu sijui,alikua mdogo.Baadae ndipo akaja kugundua kuwa kumbe lile tambiko alifungishwa ndoa na mzimu/jini na mzimu hautaki aoelewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Cha jini mahaba wala nini.
Ni tabia tu ya kuwa selective na uasherati.
Tunapokosa tunachokitaka hatukosagi wa kumsingizia.

Mungu yupo na hawezi kukuacha mwanadamu uteseke bila wewe kuanza kujitesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom