mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 225
MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU KULALA KUPOOZA.
Kwa mujibu wa Ryan Hurd kwenye makala yake ya "The sleeping paralysis report" kulala kupooza ni hali impatayo mtu pale muingiliano wa taswira za kwenye mazingira ya ndoto kutokea katika mazingira ya mtu akiwa macho au anaufahamu na mazingira yake halisi au ya nje ya usingizi(ndoto).Kwa kifupi ni hali impatayo mtu pale ubongo au akili yake ikiwa macho lakini mwili wake umelala au kupooza. Kulala kupooza au sleeping paralysis humpata mtu pindi tu anaanza kupata usingizi (wakati akiwa ubongo wake ukiwa bado na ufahamu na mazingira yake yamzungukayo) au humpata mtu pindi tu anapotaka kuamka kutoka usingizini ( akiwa tayari ubongo wake umeanza rejea ufahamu wa mazingira yake ya nje au halisi) na hivyo kumfanya mtu huyo ashindwe kujisogeza mwili wake na kupatwa maono (hallucinations) ya taswira mbalimbali.
"Watoto wa mama mdogo" Hii code name napenda kuitumia sana kuwaita kundi fulani hivi.big up kwa kunikumbushaMaswali yanayohusu hizi Mambo ni ya kuwaachia watoto wa Mama mdogo.
Maswali yanayohusu hizi Mambo ni ya kuwaachia watoto wa Mama mdogo.
"Watoto wa mama mdogo" Hii code name napenda kuitumia sana kuwaita kundi fulani hivi.big up kwa kunikumbusha
Wale waliozaliwa na mdogo'ake Mama.Watoto wa mama mdogo ni nini maana yake?
MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU KULALA KUPOOZA.Asalaam
Nimekuza najiuliza Jinamizi ni nini hasa? He ni Jini? Mizimu? Pepo au mashetani?
Nyakati za usiku hasa usiku wa manane inatokea upo kwenye ndoto ambayo huwezi kupumua wala kuongea lakini unasikia kila kitu.
Mbaya zaidi unakua unatamani hata mtu akuguse ili uzinduke. Kifupi ni kama umekabwa au kubanwa na kitu.
Wengine hali hii huwapata nyakati za mchana wakiwa wamelala.
Hivi Jinamizi ni nini?
Nawasilisha.
Jini, mapepo na mizimu ni kitu kimoja. Mizimu ni majini/mapepo yenye nguvu katika familia, ukoo au jamii fulani. Mashetani ni malaika walioasi na wapo katika daraja la juu na wana nguvu zaidi ya mapepo/majini/mizimu.Asalaam
Nimekuza najiuliza Jinamizi ni nini hasa? He ni Jini? Mizimu? Pepo au mashetani?
Nyakati za usiku hasa usiku wa manane inatokea upo kwenye ndoto ambayo huwezi kupumua wala kuongea lakini unasikia kila kitu.
Mbaya zaidi unakua unatamani hata mtu akuguse ili uzinduke. Kifupi ni kama umekabwa au kubanwa na kitu.
Wengine hali hii huwapata nyakati za mchana wakiwa wamelala.
Hivi Jinamizi ni nini?
Nawasilisha.
Asante sana ndugu... Nimeelewa sanaJini, mapepo na mizimu ni kitu kimoja. Mizimu ni majini/mapepo yenye nguvu katika familia, ukoo au jamii fulani. Mashetani ni malaika walioasi na wapo katika daraja la juu na wana nguvu zaidi ya mapepo/majini/mizimu.
Jinamizi kusababishwa na majini yapendayo kumwingia mtu akia usingizini na kuchukua hatamu ya sehemu muhimu katika ubongo wa mwanadamu ili kuweza kufanya watakavyo. Mchawi aliye katika roho anaweza pia akamwingia mtu kama jinamizi. Hawawezi kuchukua hatamu ya roho yako kwani roho yako ina nguvu ya ajabu ya kimungu, hivyo huchukua hatamu ya mwili wako tu.
Wanapenda pia kuchukua hatamu ya uwezo wa mtu wa kutamka ili mtu asiweze kupata msaada kwa wenzake au kwa Mungu (Yesu Kristo).
Cha kufanya unapopata jinamizi ni kujitahidi kuita Jina la Yesu. Kama huwezi basi fikiri au leta picha ya Yesu kichwani na mara moja jinamizi hutoweka.
Ili usipate jinamizi dawa yake ni kuwa mtu wa Yesu Kristo, yaani mtu aliyekombolewa kwa Damu ya Yesu Kristo na kuishi maisha safi. Pia usikubali hata siku moja kulala bila kusali na kujiweka chini ya ulinzi wa Yesu Kristo. Ukifanya hivyo majinamizi utasikia tu hadithi zake kwa wengine.
Asante ndugu yangu.. Kweli Yesu ni kimbilioKwa takwimu chache nilizo nazo
Wanaokukaba hao ni wachawi(nilifanikiwa kuwaona) maana hata Mimi nilikuwa nakabwa Nikita YESU yananiacha
Nikaamua kumpokea YESU kama BWANA na mwokozi kwenye maisha yangu hayo kwa sasa ni storia ni kama navyosoma hapa kwenye Uzi wako
Kama unakabwa nisikufiche YESU ndio jibu wengine Wote wababaishaji
Asante kwahili. Hii haki siku ya kwanza mimi nilijua ndio nimekufa kabisa. Ni kitendo cha chini ya dakika 3 lakini unahisi kama mwaka vile. Lakini mimi hua nawaza, hv mtu akikugusa au kukushtua katika hali hiyo, sinndio unasafiri mazima?MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU KULALA KUPOOZA.
Kwa mujibu wa Ryan Hurd kwenye makala yake ya "The sleeping paralysis report" kulala kupooza ni hali impatayo mtu pale muingiliano wa taswira za kwenye mazingira ya ndoto kutokea katika mazingira ya mtu akiwa macho au anaufahamu na mazingira yake halisi au ya nje ya usingizi(ndoto).Kwa kifupi ni hali impatayo mtu pale ubongo au akili yake ikiwa macho lakini mwili wake umelala au kupooza. Kulala kupooza au sleeping paralysis humpata mtu pindi tu anaanza kupata usingizi (wakati akiwa ubongo wake ukiwa bado na ufahamu na mazingira yake yamzungukayo) au humpata mtu pindi tu anapotaka kuamka kutoka usingizini ( akiwa tayari ubongo wake umeanza rejea ufahamu wa mazingira yake ya nje au halisi) na hivyo kumfanya mtu huyo ashindwe kujisogeza mwili wake na kupatwa maono (hallucinations) ya taswira mbalimbali.
Hapana sio rahisiAsante kwahili. Hii haki siku ya kwanza mimi nilijua ndio nimekufa kabisa. Ni kitendo cha chini ya dakika 3 lakini unahisi kama mwaka vile. Lakini mimi hua nawaza, hv mtu akikugusa au kukushtua katika hali hiyo, sinndio unasafiri mazima?
Kaka kwaio hao sio wachawi Kumbe ni hali ya kawaida katika ubongo.?MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU KULALA KUPOOZA.
Kwa mujibu wa Ryan Hurd kwenye makala yake ya "The sleeping paralysis report" kulala kupooza ni hali impatayo mtu pale muingiliano wa taswira za kwenye mazingira ya ndoto kutokea katika mazingira ya mtu akiwa macho au anaufahamu na mazingira yake halisi au ya nje ya usingizi(ndoto).Kwa kifupi ni hali impatayo mtu pale ubongo au akili yake ikiwa macho lakini mwili wake umelala au kupooza. Kulala kupooza au sleeping paralysis humpata mtu pindi tu anaanza kupata usingizi (wakati akiwa ubongo wake ukiwa bado na ufahamu na mazingira yake yamzungukayo) au humpata mtu pindi tu anapotaka kuamka kutoka usingizini ( akiwa tayari ubongo wake umeanza rejea ufahamu wa mazingira yake ya nje au halisi) na hivyo kumfanya mtu huyo ashindwe kujisogeza mwili wake na kupatwa maono (hallucinations) ya taswira mbalimbali.
Hiyo ni KISAYANSI lakini kiuchawi ni roho chafu.. Inakuwa imeingilia mawasiliano ya mifumo ya ufahamu kwa mudaKaka kwaio hao sio wachawi Kumbe ni hali ya kawaida katika ubongo.?
Mkuu mbona hizo ni ishara za Corona[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Asalaam
Nimekuza najiuliza Jinamizi ni nini hasa? He ni Jini? Mizimu? Pepo au mashetani?
Nyakati za usiku hasa usiku wa manane inatokea upo kwenye ndoto ambayo huwezi kupumua wala kuongea lakini unasikia kila kitu.
Mbaya zaidi unakua unatamani hata mtu akuguse ili uzinduke. Kifupi ni kama umekabwa au kubanwa na kitu.
Wengine hali hii huwapata nyakati za mchana wakiwa wamelala.
Hivi Jinamizi ni nini?
Nawasilisha.
Asante MkuuHiyo ni KISAYANSI lakini kiuchawi ni roho chafu.. Inakuwa imeingilia mawasiliano ya mifumo ya ufahamu kwa muda