Ukisikia mtu kapata miaa maana ake unaenda na begi tu chuo..!! Kama mimi enzi hizoo za JK... Mungu ambariki sana yulee mzeee...Iv inawezekana mtu aliepata mkopo asilimia mia akakosa hela ya stationary na field?
Hata direct cost hulipi mkuu? Mfano hela ya kitambulisho, organization of students, and the like?Ukisikia mtu kapata miaa maana ake unaenda na begi tu chuo..!! Kama mimi enzi hizoo za JK... Mungu ambariki sana yulee mzeee...
Mkuu kaza msuli kisela tu unatoka wengine tumepiga bila boom na tumepita tumeona wenye boom ndani ya week 2 bawana hata 100 so kupunguza vitu visivyo vya lazima tuHaha Bora nyie mwenzako hata hilo boom sipati
Hizoo tu ndo utalipaaaHata direct cost hulipi mkuu? Mfano hela ya kitambulisho, organization of students, and the like?
Ukiandikan...kashinde... Unapungukiwa nini,kesho na keshokutwa utakosa fursa au utapuuzwa kwenye uwasilishaji wa mambo mazuri kabisa na hekima,kwa sababu ya uandishi wa kihunihuni tuuKwan hujaelew.. What the writter intend to deliver?
hongera sana kakaze has a sisi wengine cjui inakuwaje hata sielewiMimi nimepata meals&accomodation 1,989,000 then stationary 200000 then field 190,000 then special facaulty requirements 60,000 then fees 83%
Ahsante sana nitalifanyia kazi hiloKama umeshidwa kuangalia jins ulivopata kwa kulog in.. Bas usijali nenda chuo utawakuta watu kutoka bodi.. Then utachukua form inaitwa register form then utaipeleka kwa watu WA bodi.. Hao watakuandikia kiasi cha ada kilicholipwa.. Kama hawajalipa chochote basi utandikiwa nil hivo itakulazim ukalipe Kwanzaa benki ndo uje uendrleeh na usajili chuon.... Badae utapatiw kitambulisho ambacho utawaonesha watu wa bodi basi nao watakuomba account number ili wakuingizie boom lako
Mi sijaandika ila kwa niaba ya alieandika nimekuliza ambacho hujaelewa nini? By the way wew hauna uwezo wa kumpuza mtu yeyot wala kutoa fursa kwa mtu... Endelea kusubir chuo na kula ugali wa shikamoo kwa baba yako apaoo... PumbafuuUkiandikan...kashinde... Unapungukiwa nini,kesho na keshokutwa utakosa fursa au utapuuzwa kwenye uwasilishaji wa mambo mazuri kabisa na hekima,kwa sababu ya uandishi wa kihunihuni tuu
Waachie form 1 B waandike hivyo...wewe ni mtu mzima sasa,unless labda kama you still growing
Asante kwa majibu yako ya kashfa...Mimi huko mnapopita mdogo Wangu nilipita miaka mingi hadi nimesahau,Mungu Akusamehe kunidharau na kunitusi,ila akufanyie wepesi wa kuyaelewa haya niliyokushauriMi sijaandika ila kwa niaba ya alieandika nimekuliza ambacho hujaelewa nini? By the way wew hauna uwezo wa kumpuza mtu yeyot wala kutoa fursa kwa mtu... Endelea kusubir chuo na kula ugali wa shikamoo kwa baba yako apaoo... Pumbafuu
Naenda kulipa direct cost au hyo ada kwnzAhsante sana nitalifanyia kazi hilo
Je mtu aliyesoma private Mara mbili AF mchepuo PCB anaweza pata ata boom?msaadaUsikate tamaa ndg yng yani ishu mkopo wa Bodi ni kichomi htariiiii ww endelea kufuatilia ikibid pga kambi pale wakuone wakubwa wa nchi hii au uende kuomba kuonana na PM moja kwa moja.
nimepataJe mtu aliyesoma private Mara mbili AF mchepuo PCB anaweza pata ata boom?msaada
Sasa angalia hesabu zako hapo juu hapa lazima ukomae kwelikweli maana kula chips kuku na starehe zingine lazima uache kama una demu lazima uache maana hutaweza kumtunza. HAPA KAZI TUMimi nimepata meals&accomodation 1,989,000 then stationary 200000 then field 190,000 then special facaulty requirements 60,000 then fees 83%
Hongera sana, mshukuru Mungu wako wenzenu wengi wamekosa hadi naona huruma.Mimi nimepata meals&accomodation 1,989,000 then stationary 200000 then field 190,000 then special facaulty requirements 60,000 then fees 83%
Ni kweli mzee ni jambo la kumshukuru mungu mi nawafaham watu kumi af wote Two za kumi na wamekosa wote huu mkopHongera sana, mshukuru Mungu wako wenzenu wengi wamekosa hadi naona huruma.