costa doncway
Member
- Oct 5, 2017
- 65
- 17
Jichange pesa ya ada hata kopa....fanya usajili ukipata boom rudisha mkopo....tumia meal n accomodation kujisomeshea inawezekana kabisa....kuna watu hawajapata kabisa shukuru meals n accomodation unayoJaman wanaJF hivi kuna ukweli wowote kuhusu wanafunzi waliopata mkopo 3rd batch mbona karibu wote wamepewa meals&accommodation tu NA ada hatujalipiwa Mimi nakaribia kukata tamaa ya kusoma jaman naombeni mchango wenu juu ya hili
Shime kwenu wakuu
Ahsante sana ngoja nijaribu kufanya hivo kwa msaada wa MUNGU tutashindaJichange pesa ya ada hata kopa....fanya usajili ukipata boom rudisha mkopo....tumia meal n accomodation kujisomeshea inawezekana kabisa....kuna watu hawajapata kabisa shukuru meals n accomodation unayo
Mkuu hivi semester ni miezi mingapiDogo piga kitabu. Ada hupewi wewe. Inapewa shule. We tengeneza budget ya kumaliza semester. Bumu, bumu, nime limisi kweli kweli.
napata shida kwa jinsi gani nitaweza kupata hiyo pesa kuanzia semester mkuuDogo piga kitabu. Ada hupewi wewe. Inapewa shule. We tengeneza budget ya kumaliza semester. Bumu, bumu, nime limisi kweli kweli.
kwahiyo unaniambia ada tayar wamelipa chuoni au?Dogo piga kitabu. Ada hupewi wewe. Inapewa shule. We tengeneza budget ya kumaliza semester. Bumu, bumu, nime limisi kweli kweli.
Yani inabidi ushukuru sanà. coz gharama za chuo ni chakula na malazi ada sio inshu sana kama unajiwezaJaman wanaJF hivi kuna ukweli wowote kuhusu wanafunzi waliopata mkopo 3rd batch mbona karibu wote wamepewa meals&accommodation tu NA ada hatujalipiwa Mimi nakaribia kukata tamaa ya kusoma jaman naombeni mchango wenu juu ya hili
Shime kwenu wakuu
Na wewe jifunze kuandika "kaxhinde" ndio ninibado waendelea ku allocate we nenda kaxhinde kanisan
Kama umeshidwa kuangalia jins ulivopata kwa kulog in.. Bas usijali nenda chuo utawakuta watu kutoka bodi.. Then utachukua form inaitwa register form then utaipeleka kwa watu WA bodi.. Hao watakuandikia kiasi cha ada kilicholipwa.. Kama hawajalipa chochote basi utandikiwa nil hivo itakulazim ukalipe Kwanzaa benki ndo uje uendrleeh na usajili chuon.... Badae utapatiw kitambulisho ambacho utawaonesha watu wa bodi basi nao watakuomba account number ili wakuingizie boom lakokwahiyo unaniambia ada tayar wamelipa chuoni au?
Iv inawezekana mtu aliepata mkopo asilimia mia akakosa hela ya stationary na field?Mimi nimepata meals&accomodation 1,989,000 then stationary 200000 then field 190,000 then special facaulty requirements 60,000 then fees 83%
Kwan hujaelew.. What the writter intend to deliver?Na wewe jifunze kuandika "kaxhinde" ndio nini
Siku 120Mkuu hivi semester ni miezi mingapi