Mkuu
*Kama malengo ya US-NATO yanajulikana na kila mtu..sasa hapa tunazungumza nini?
Sijasema malengo hayo yanajulikana na kila mtu. Nadhani hapa tunazungumzia hiyo habari kama ilivyoandikwa kwenye mtandao wa ABC News
*Kama US-NATO wana-create a nightmare halafu wanasema ni threat, a nightmare... hapa wa kumlaumu ni nani?
Wote hao. US-NATO na Gaddafi mwenyewe!
*Kuhusu uanamapinduzi...mimi sijajipa sifa hii, wala hainistahiki..mimi nasema kile kinachokiamini..kama wewe utakitafsiri ni "wanamapinduzi" basi heshima hii inawastahikia watu wanaopigania ukweli na haki.
OK. Here I detract my allegations/accusations/assumptions
*Unaikumbuka nyimbo..who let the dogs out?
By Baha Men (if I am not mistaken)
*Sasa US-NATO wamewafungulia mbwa halafu wanasema mbwa hawa ni hatari....it is a comedy, not a nightmare.
We can not talk of weapons proliferation as a comedy. It is a serious matter, whoever set it into action. BTW, where is Gaddafi in all this? Is he an innocent part?