Inategemea na huyo Mkaguzi wa CCTV ni kabila gani. Kama ni kutoka Kagera basi jina litakuwa refu kidogo.
Chief of Security, Investigation, Intelligence and Risk Taker.Senior assistant principle CCTV operator and Analyser
Chief of Security, Investigation, Intelligence and Risk Taker.
Chief ni la kwanza kabla ya yote.kwamba usisahau kuanza na Chief
Mkuu unaona kama mmatumbi mimi siaminiki aminiki hivi...?Mkuu hii "Closed circuit television" ni kirefu sahihi cha CCTV?
😂 😂Inategemea na huyo Mkaguzi wa CCTV ni kabila gani. Kama ni kutoka Kagera basi jina litakuwa refu kidogo.
hapo inategemea akiwa anatokea mikoa ya Mbeya, Njombe,songwe au Iringa jina litaanza na Mwa...Wakuu,
Napenda kufahamu jina rasmi na la kitaaluma mtu ambae anakagua matukio ya CCTV camera kwenye jengo fulani au barabarani anaitwaje?