Jina rasmi huyu anaitwa nani?

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Wakuu,

Napenda kufahamu jina rasmi na la kitaaluma mtu ambae anakagua matukio ya CCTV camera kwenye jengo fulani au barabarani anaitwaje?
 
Mkuu hii "Closed circuit television" ni kirefu sahihi cha CCTV?
Mkuu unaona kama mmatumbi mimi siaminiki aminiki hivi...?

CCTV stands for closed-circuit television and is commonly known as video surveillance.

Closed circuit means broadcasts are usually transmitted to a limited (closed) number of monitors, unlike regular TV, which is broadcast to the public at large
 
Wakuu,

Napenda kufahamu jina rasmi na la kitaaluma mtu ambae anakagua matukio ya CCTV camera kwenye jengo fulani au barabarani anaitwaje?
hapo inategemea akiwa anatokea mikoa ya Mbeya, Njombe,songwe au Iringa jina litaanza na Mwa...
Ila kama ni mjita harafu wa kike Jina litaanza na Nya...
Kama ni mha wanamajina mabaya kidogo mfano Ndayishimiye,Ndaruhekeye au Ntimbanzokinza, n.k
 
Back
Top Bottom