Jina lako la kichawi

Jina lako la kichawi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,045
Reaction score
828,853
Niwatakie baraka tele na amani kwa wale watakaojaaliwa kwenda ibadani.... Ni jambo jema, tena la kheri.... Mkawaombee na wote wenye shida mbalimbali za kiroho na kimwili pia, ugongwa na taabu, wasafirio nchi kavu angani na bahatini..... Muwakumbuke yatima na wajane pia... Aamen

Kama ilivyo kwenye maisha yetu kila mmoja hakosi jina, liwe la kimila ama la kizungu au la kiarabu ni jina lako, liwe la kujipachika mwenyewe, la utani ama la bandia bado litabaki kuwa jina lako.....
Lakini vile vile kila mmoja wetu hapa ana siku yake! I mean siku ya kuzaliwa na kufa pia! Kila mmoja wetu ana bahati yake, nyota yake nknk... Huo ndio ukamilifu wa mwanadamu KUMILIKI.....
Tunamiliki vizuri na vibaya! Visivyoonekana na vinavyoonekana.... Tusivyovijua na tunavyovijua... Jina la kichawi ni mojawapo ya vitu unavyomiliki kiasili

Imekaaje hii? Utajuaje? Unalipataje jina lako la kichawi?
Chukua herufi ya kwanza ya jina lako na herufi ya kwanza ya ubini wako kisha linganisha na tafsiri yake kwenye jedwali la kizungu hapa chini.... Ni rahisi mno
b77ff3950320798e6c2e26c6c574bc34.jpg
kama kuna shida kidogo ya lugha tafuta kamusi ama lete hapa utapata tafsiri yake sahihi kwa kiswahili fasaha (sio kikwenu) linganisha tafsiri hiyo na maisha yako... Unaweza kujikuta wewe ni mchawi mahiri bila kujijua
Zingatia wale tunaowaita wana midomo mibaya! Kwamba akikutamkia jambo baya lazima likutokee... Akikwambia UTAKUFA.... Utakufa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
m n D jina la kwanza, naona dazed, divine na darkest, jina la mwisho n B cjaona kule upand wa pil
 
Niwatakie baraka tele na amani kwa wale watakaojaaliwa kwenda ibadani.... Ni jambo jema, tena la kheri.... Mkawaombee na wote wenye shida mbalimbali za kiroho na kimwili pia, ugongwa na taabu, wasafirio nchi kavu angani na bahatini..... Muwakumbuke yatima na wajane pia... Aamen

Kama ilivyo kwenye maisha yetu kila mmoja hakosi jina, liwe la kimila ama la kizungu au la kiarabu ni jina lako, liwe la kujipachika mwenyewe, la utani ama la bandia bado litabaki kuwa jina lako.....
Lakini vile vile kila mmoja wetu hapa ana siku yake! I mean siku ya kuzaliwa na kufa pia! Kila mmoja wetu ana bahati yake, nyota yake nknk... Huo ndio ukamilifu wa mwanadamu KUMILIKI.....
Tunamiliki vizuri na vibaya! Visivyoonekana na vinavyoonekana.... Tusivyovijua na tunavyovijua... Jina la kichawi ni mojawapo ya vitu unavyomiliki kiasili

Imekaaje hii? Utajuaje? Unalipataje jina lako la kichawi?
Chukua herufi ya kwanza ya jina lako na herufi ya kwanza ya ubini wako kisha linganisha na tafsiri yake kwenye jedwali la kizungu hapa chini.... Ni rahisi mnoView attachment 580503kama kuna shida kidogo ya lugha tafuta kamusi ama lete hapa utapata tafsiri yake sahihi kwa kiswahili fasaha (sio kikwenu) linganisha tafsiri hiyo na maisha yako... Unaweza kujikuta wewe ni mchawi mahiri bila kujijua
Zingatia wale tunaowaita wana midomo mibaya! Kwamba akikutamkia jambo baya lazima likutokee... Akikwambia UTAKUFA.... Utakufa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Divine magnetism maana yake nini?

from Katesh using Siemens C55
 
Back
Top Bottom