Jina la mwaka 2012

Jewel

Senior Member
Joined
May 1, 2008
Posts
181
Reaction score
66
Habari zenu wana jf nawatakieni heri ya mwaka mpya.jamani naomba mnijuze maana ya jina hili maana nimepata msh katika mchina wangu nanukuu"waitu nakutona eibala ly'omwaka 2012 ni wechonche " akina ruta mpo??????????? Naomba maaana yake tafadhali
 
kwa mwaka 'abagurusi' (wazee wa kihaya) huwa wanakaa,wanatafakari na mwisho wanatoa jina la mwaka.2012 wameuita 'wechonche' meaning literally 'changamka'.Ni kama tulivyokuwa JKT enzi zile kila in take ilikuwa na jina la operesheni yake mfano operesheni kagera,operesheni ushindi,operesheni tija n.k.
 
Wahaya wana utaratibu wa kubatiza miaka.

Mwaka 2011 uliitwa TONGANA (Jutia, Ungama, pigania/ikomboe nafsi) labda hili jina lina uhusiano na makosa ya wapigakura na kisha matokeo ya utawala mbovu!

Mwaka 2012 wameubatiza WECHONCHE (Jishughlishe, Jibidiishe). Labda ujumbe ni kwamba kama mmejutia (Tongana) acheni sasa kulalamika sana, Jibidiisheni/jishughlisheni zaidi
 

asante baba
 

ubarikiwe kwa ufafanuzi
 

Pia siyo wakati wa kukaa kimiya sasa.Ni mwaka wa kila mtu kudai haki yake, kuboresha maisha yake kwa kufanyakazi kwa bidiii.KWA UFUPI NI MWAKA WA KUJILIPUA HILI UPATE FAIDA
 
Jina la 2012 kizungu "twenty dozen"
 
Pia siyo wakati wa kukaa kimiya sasa.Ni mwaka wa kila mtu kudai haki yake, kuboresha maisha yake kwa kufanyakazi kwa bidiii.KWA UFUPI NI MWAKA WA KUJILIPUA HILI UPATE FAIDA

Mkuu upo?
Umepote sana mzazi....
Mwaka tunauanzaje huu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…