Jina la mtoto linaloanza na herufi G

Jina la mtoto linaloanza na herufi G

Habari zenu waungwana, naombeni mnisaidie jina la mtoto wa kiume linaloanza na herufi G ambalo linaendana na Goodluck.
Natanguliza shukrani
Mkuu hongera unataka kuja mlemle Mimi mwanangu wa kwanza anaitwa Goodluck na wa pili anaitwa Goodwin au Godwine

Nb Goodwin ina maana sawa na Godwine ikimaanisha rafiki wa Mungu.
 
Back
Top Bottom