Jina la bwana libarikiwe!!

ubarikiwe sana Kijana leo,,Nataka kumwambia huyu tedo kuwa Injili haina mipaka,wala majukwaa kama unavyo jua wewe,Tena hili jikwaa na penda kuweka Maneno ya Mungu kwa kuwa najua watu wengi mnapenda kutembelea hili jukwaaa,KAZI YA MUNGU HAINA MIPAKA MILELE NE MILELE.
 
Last edited by a moderator:
Atabarikiwa mwenye kinywa kiwabarakiao wengine,ubarikiwe sana mpendwa nilikua nshachoka na mimada ya ovyo
 
amina!!! Mkuu uwaombee wapost threads za mapenzingono zinavutia sana macho hard to resist.
Watiwe upofu wa ufahamu.. Wakugeukie wewe Mungu Haleluya
 

hakika yeye ni mwanzo na mwisho,jana, leo na hata milele. Kila goti litapigwa kwani hakuna wa kufanana naye
 
amen!!! Nahisi leo upako umenipaka ee Mungu niepushie kutokusoma thread za migegedo.
Amen.

Si leo tu hama kabisa hili jukwaa au uwe mshauri wa akosaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…