Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Umesoma vizuri?Inaitwa CRDB Bank.
Nimesoma mkuu ni kama iliyokuwa Dar es Salaam community bank kubadili jina na sasa inaitwa DCB PlcUmesoma vizuri?
Kwa vyovyote hujaelewa ninachotaka kukifahamu. Cooperative Rural Development Bank ni CRDB lakini pana maandishi mengine ya "Bank" ndio maana nikasema Tazama Logo!Nimesoma mkuu ni kama iliyokuwa Dar es Salaam community bank kubadili jina na sasa inaitwa DCB Plc
Pamoja na kuwa sio ya wakulima tena lakini mkuu ni kwanini baada CRDB kuna neno BANK?Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
We haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.Kwa vyovyote hujaelewa ninachotaka kukifahamu. Cooperative Rural Development Bank ni CRDB lakini pana maandishi mengine ya "Bank" ndio maana nikasema Tazama Logo!
Pamoja na kuwa sio ya wakulima tena lakini mkuu ni kwanini baada CRDB kuna neno BANK?
B ilioko kwenye CRDB inasimama badala ya nini?
Kama ni kweli mkuu hiyo mkuu basi umefanya uchochezi brelaSawa sawa na kusema barabara ya nyerere road... Ni makosa tu ya kiuandishi na wameona wastiki na CRDB kuliko kusema CRD BANK... haisound vizuri
Labda kaangalia jina, madhumuni ya kuanzishwa benki hiyo na kinachoendelea kufanywe na benki hiyo kina uhusiano wowote na jina lake.?Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
You can't be seriousWe haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.
Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.
Kamaanisha ktk neno CRDB BANK neno bank limetajwa Mara 2 hapo kama ukirefusha hill CRDB na kuweka neno la mwisho BA.NKAma mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
Mkuu, hili nayo lapaswa kuanzishiwa mjadala wakeLabda kaangalia jina, madhumuni ya kuanzishwa benki hiyo na kinachoendelea kufanywe na benki hiyo kina uhusiano wowote na jina lake.?
Ukitaka kujua kama kirefu kipo waambie wakuonyeshe BRELA wamesajili jina gani. CRDB itabaki kuwa ufupisho tuWe haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.
Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.