Hapana nataka hiyo application kupunguza usumbufu wa kuandika upya data!.Me acha niwahi kiti cha mbele kama msikilizaji na mtazamaji. But nimewahi nikijua kuwa ni namna ya kubadiri muonekano wa file katika PC. Ningekusaidia kama nihuko basi hivyo viwango sijavifikia pia kama ni maswala ya networking kati ya computer 1 na nyingine naweza kujaribu
Mkuu wajuvi wakikupa na mimi unitag sawaHapana nataka hiyo application kupunguza usumbufu wa kuandika upya data!.
Nipo nayo moja. Inaweza Ku convert picha kwenda ms word,excell, PDF. Ina preserve formating zote, font size, font type, spacing. Njoo Pm ukiitajiHabari!.
Kuna application niliwahi ikuta ofisi fulani yenyewe inafanya kazi ya kuconvert maneno na kupeleka kwenye Microsoft document, excel au pdf format.
Lakini kubwa zaidi inawescan vitabu, na ikimaliza scan let say karatasi yenye namba unaweza kuconvert zile namba zikaingia kwenye Microsoft Excel moja kwa moja!.
So mfano umeletewa report unaweza ichukua ukaiscan then ukaipeleka kwenye excel kuongeza au kuangalia format zilizotumika.
Kwa anayeijua hiyo application ya naomba anitajie jina lake tafadhali!.
Mkuu hii application nayotafuta siyo ya kuconvert kama unavyofikiria!.Ingia google convert word to pdf au format yeyote zitakuja website kibao huna haja ya kudownload application unabadilishia online tu