Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo CHADEMA linawashindwa?

Oct 7, 2015
86
108
Kiukweli nimekaa nikajiuliza Sana,na naomba tushare hili hapa.

JIMBO LA UBUNGO CHADEMA LINAWASHINDWA?

Kwanini nimewaza hivyo!!? mwaka 2010 mlituletea John Mnyika na kutuaminisha ndio mzizi wa fitina wa shida za ubungo,lakini amekaa miaka yake mitano tu nyie wenyewe kwa tathmin zenu za ndani mkaamua ahamie Jimbo la kibamba.

2015 mkatupa Said Kubenea awe mgombea na mwakilishi wa ubungo,huku mkituaminisha tena huyu naye ni suluhisho la maslahi ya ubungo, ambaye naye amekaa miaka mitano tu,kwa tathmini zenu zilezile za ndani mmeona hafai.

2020 mmemleta Boniface Jacob..ambaye naye kabla alikua mayor ubungo,mtu mwenye mamlaka zaidi na maendeleo ya mitaa kuliko mbunge.sasa mnataka tumtume akawakilishe matatizo ambayo alikua na mamlaka ya kuyasolve.

Tafsiri ya haya mabadiliko mnayoyafanya tu ndani ya chama ni kwamba,mnaowateua wanashindwa kutimiza kile wananchi wa ubungo wanachotaka ,na ndio sababu mnajaribu mtu mwingine kila mara..kwa lugha nyepesi mnakiri Jimbo LINAWASHINDWA.

NA KWA MANTIKI HIYO NADHANI ITAKUA SAHIHI WANANCHI WA UBUNGO SAFARI HII WAKAMCHAGUA PROF KITILA MKUMBO WA CCM maana Jimbo limewashindwa CHADEMA.
 
..toka 1961 mpaka 2010 tanu / ccm ilikuwa inaongoza na mlishindwa.

..Boniface Jacob amefanya kazi nzuri kama diwani na meya na sasa anafaa kwenda kuwa mbunge.
Kazi gani amefanya Jocob? Tuwe wakweli tuseme mambo aliyofanya huyu meya mstaafu.
 
Kuna chama kimefanya makosa makubwa sana Ubungo ila siyo CHADEMA.

Uchaguzi ukiisha nitasema
 
Ubunge hauwafsi wasomi, hakuna msomi anaweza kazi ya ubunge.

Apewe huyohuyo ngumi jiwe akawafunze adabu kina Kubajaji mjengoni.
 
Flyover ni mradi wa serikali kuu kwa ufadhili wa world bank hakuna mkono wa mbunge wala serikali ya mtaa...labda jingine sio hili la sasa
Nilisema hilo kwa kutega nawe ukaingia mkenge,
Kumbe wajua maendeleo huletwa na serikali sio mbunge? Mbunge kazi yake kusema shida za jimbo serikali inatekeleza, ishu ya fly over mnyika alilisema sana na serikali inefanya, kwa hiyo ukiona sehemu hamna maendeleo jua serikali ndio wa kulaumiwa sio mbunge maana serikali ndio inakusanya kodi zetu ili ituletee maendeleo
 
Kwani ule mfuko wa jimbo huwa ni wa kazi gani !? Usimamizi wa barabara za mitaa ni kazi yakinani !? UBUNGO IKO NYUMA katika maendeleo sababu ya usimamizi mdogo wa viongozi wa serikali ya mtaa.1:diwani (bonny- chadema)
2:meya(bony- chadema)
3:mbunge(Chadema)

KWA UJUMLA CHADEMA WAMEFELI KULIMUDU JIMBO
 
Ubunge hauwafsi wasomi, hakuna msomi anaweza kazi ya ubunge.

Apewe huyohuyo ngumi jiwe akawafunze adabu kina Kubajaji mjengoni.
Hao ambao si wasomi Sana ndio wamefail..Mnyika hajamaliza degree amefail,Kubenea naye kawaida.bonny ana shahada ya ualimu pia naye amefail kwenye umeya...
 
Kiukweli nimekaa nikajiuliza Sana,na naomba tushare hili hapa.

JIMBO LA UBUNGO CHADEMA LINAWASHINDWA?

Kwanini nimewaza hivyo!!? mwaka 2010 mlituletea John Mnyika na kutuaminisha ndio mzizi wa fitina wa shida za ubungo,lakini amekaa miaka yake mitano tu nyie wenyewe kwa tathmin zenu za ndani mkaamua ahamie Jimbo la kibamba.

2015 mkatupa Said Kubenea awe mgombea na mwakilishi wa ubungo,huku mkituaminisha tena huyu naye ni suluhisho la maslahi ya ubungo, ambaye naye amekaa miaka mitano tu,kwa tathmini zenu zilezile za ndani mmeona hafai.

2020 mmemleta Boniface Jacob..ambaye naye kabla alikua mayor ubungo,mtu mwenye mamlaka zaidi na maendeleo ya mitaa kuliko mbunge.sasa mnataka tumtume akawakilishe matatizo ambayo alikua na mamlaka ya kuyasolve.

Tafsiri ya haya mabadiliko mnayoyafanya tu ndani ya chama ni kwamba,mnaowateua wanashindwa kutimiza kile wananchi wa ubungo wanachotaka ,na ndio sababu mnajaribu mtu mwingine kila mara..kwa lugha nyepesi mnakiri Jimbo LINAWASHINDWA.

NA KWA MANTIKI HIYO NADHANI ITAKUA SAHIHI WANANCHI WA UBUNGO SAFARI HII WAKAMCHAGUA PROF KITILA MKUMBO WA CCM maana Jimbo limewashindwa CHADEMA.
Si vizuri mgombea mmoja akarudia jimbo kila wakati, CDM wamefanya vizuri sana kubadilisha kila wakati.
 
Sawa Hata magufuli ameshindwa ndo maana tutamweka lissu
 
Kwani pesa za makusanyo ya kodi za Halmashauri ya Kinondoni na Ubungo yanawekwa kwenye mfuko upi?

Nani anaamua pesa zitumike kwenye miradi ipi? Msijifanye mmesahau. Kama hiki ndicho mlipanga wakati Jiwe ananyakua makusanyo yote toka Halmashauri na kuzipeleka hazina ili iwe rahisi kwa yeye na mpwa wake kuzipiga basi subirini 20/10 majibu mtayapata.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom