Jimbo la Spika lawaka moto!


Anna Makinda au Sofia Simba
 


NN,
Nilitegemea Bw. Maswanya awaeleze mikakati yake ya kuwapigania wana jimbo kuwatoa ktk lindi la matatizo!! Binafsi nimefika Urambo; hali bado ni tata. Mimi sidhani kama kweli huyu ni mtu atakaye wasidia...

Aje na mipango ya kweli ya kuwkomboa wana Urambo. Hata hivyo, nakutakia kila la kheli bwana Mswanya.😎
 
ELNINO unaripoti unayoyasikia ndani ya CCM au ni mawazo yako kwamba watu hao wamechoka kuna tofauti kati ya kusikia na mawazo yako kama ni mawazo yako what is wrong with these guys
 
Unaweza toa sababu kwa nini t/unahitaji vijana na si wazee au ndiyo chorus ya kileo kwamba t/unadhani kijana yeyote lazima atakuwa na uwezo wa uongozi
 
Binafsi namfahamu Bwana Maswanya na ni kijana mzuri. Lakini linalonijia kichwani ni kwamba hivi alisubiri mpaka awe kamanda ndiyo awakumbuke wana Urambo? Amekuwa mtumishi wa Zain na kabla ya hapo Celtel na TTCL kwa muda mrefu na shida za wana Urambo, hazikuanza leo. Hii timing haitoi hitimisho lolote zaidi ya kuwa amesukumwa na hoja ya kisiasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Mimi naamini wana Urambo wanaijua hii style ya watu kusimikwa ukamanda ili wajijengee uhalali wa kupita jimboni na kumimina ahadi na hata kuhujumu incumbents. Lakini je, kama Maswanya ni mwenyeji wa Urambo na mwenye mapenzi, alisubiri nini miaka yote hii asizione kero za urambo (usafiri siyo kero ya kipaumbele) hadi miezi michache kabla ya mchakato? Hii ni dhihaka na ana kazi ngumu kujiondoa kwenye tuhuma za kutumiwa na wale wanaodaiwa ni maadui wa Mzee Sitta. Hata Rungwe imeotkea hivyo hivyo kwamba aliyepewa ukamanda wa UVCCM Mkoa wa Mbeya ndiye hivi sasa amepewa rungu la kujaribu kumng'oa Prof. Mwandosya. Hakika bunge lijalo si la wananchi, ni la watu wanaowawakilisha vigogo wenye nazo.

Kila la heri swahiba yangu Maswanya lakini unajaribu kukata mbuyu na wewe una wembe, utaweza?
 
Akufukuzae hakwambii toka, Sitta muda wako wa kukaa CCM umeshakwisha...your targeted...
Siyo CCM tuu
Huu ni wakati wa kuwaachia vijana ambao wanaweza kuchemka na changa moto zinatukabili mikoani vinginevyo watanyakua na kuwaach wazee kama hawa kuaibika.
Huu siyo wakati wa kuoneana haya 'You can't train old dog new trick'
 

I am still not convinced na hiyo uliyoweka hapo, naona ni hisia zako tu zinakutuma hivyo kutokana na vuguvugu lililopo, la sivyo ungesema ilala, kinondoni, kyela, Ukerewe, kondoa kusini, dodoma mjini, nk.

CCM has alot of democracy to share this year within the party na si kwasababu watu wamechokwa au majimbo wamepewa UVCCM

Unataka kuniambia CCM wamekaa na kukubaliana UVCCM wapewe less than 10 majimbos?? hell No!!!

Just get your facts right and acknowledge pale ambapo unaspeculate ili tuwe vyema
 
ELNINO unaripoti unayoyasikia ndani ya CCM au ni mawazo yako kwamba watu hao wamechoka kuna tofauti kati ya kusikia na mawazo yako kama ni mawazo yako what is wrong with these guys

bana eh!!!
 
Uongozi ni kupokezana kila mmoja anajaribu. Kwakuwa kila mtu anahaki ya kugombea mie sioni shida kuwa na Wagombea wengi. Tumwache naye ajaribu japo hatujui kipya alichonacho. Hizo ahadi tu zimeshanipa wasiwasi juu yake.

Gofu Zulu
 
...ushabiki mwingi wa namna hii una element za uislamu!!!
 

Hivi huu moto umeshaunguza nyumba au vipi?
 

vyombo gani vya usafiri? piki piki? hapo anawaua vifua tu. tax 50 urambo zilitoka wapi? au Urambo huijui wewe!!!!!!!! utakuwa mmoja wao au wamekutuma
 
Jamani someni alama za nyakati.
Huko nyuma niliwahi kuwaambia kuwa kulia lia ya mzee ni uoga wa kukubali ukweli kuwa amepauka huko kwao wengi mlinibeza na kunibandika majina.
Nyinyi watu ambao mko dar kuna wengine wanajifanya wanaelewa sana na kwamba unapowaambia ukweli halisi basi waanza "this country bwana......"
Mimi nimekuwa nikipita jimbo hili mara kwa mara na tabia niliojijengea ni kuwa nikifika ugenini hufunga mdomo na kuyaweka masikio yangu mkao wa kusikiliza tu na unapoona kuwa wengi huzungumzia kitu kimoja basi ni dhahir kuwa hiyo ni hali halisi.
Tutawaita wajinga na majina mengi lakini ukweli ni kuwa wao ndiyo wenye uwezo wa kuamua [siyo wajinga kama mnavyofikiri].
Mzee kupita urambo safari hii itakuwa moja ya miujiza ya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…