Jimbo la Siha

Wilaya ya Siha kwa sasa inaendelea na ujenzi wa majengo ya hospitali ya wilaya hapo Sanya Juu, jengo la wazazi limekamilika na ni la ghorofa moja, jengo la utawala liko katika hatua ya msingi na ni la ghorofa moja; eneo la sakafu juu na chini ni mita za mraba 1420. Nasema haya kwa maana mimi ni mkandarasi hapo.Asiyeamini naomba aende hapo site leo hii utatukuta site. Ila kama mjadala ni nani kaleta hizo pesa ni nani mie huko sipo. Hongera wilaya ya Siha kwa juhudi zenu
 
Jimbo la Siha lina changamoto nyingi ikiwemo Miundombinu,Afya,Elimu na uwajibikaji wa watendaji wa Serikali.Mbunge wa Siha Mh.Agrey Mwandri amekuwa Mbunge kwa miaka Kumi sasa na japo kuwa kofia ya pili ndani ya serikali ya Ccm tena wizara nyeti ya TAMISEMI ameshindwa kufanya mambo ya msingi na pia ameshidwa kutatua kero za wana wa Siha kwani kero kubwa zikiwemo Elimu,Afya,Miundombinu ya barabara na Masoko bora bado ni kero zinazo wakabili watoto,baba,mama,bibi na babu zake Mh Mwandri ambaye anasikifa sana kwa majibu mazuri ndani ya Bunge hili hali akiwa amewasahau wapiga kura wake tena ambao uwakumbuka tuu wakiwa na misiba na pia wakati wa kampeni akiwafuata kwenye vilabu vya mbege na kuwanunulia ikiwa ni njia ya kuomba kura.NAOMBA MSAADA WA MAWAZO TUWASAIDIE VIPI WANA SIHA.

CCM ni janga la kitaifa

kama kuna watu bado hawataki kuamini maneno haya, utawaambia nini hata waamini?
 
Back
Top Bottom