chama gani huyo mama
Huu ujinga wa kusema watu wa eneo flani wanamtaka huyu umezidi sana siku hizi,niko segerea huyo unayemsema hata hatumjui.
Kkevela si ndiye mwenye Majembe nk ? HUyu mama ni kambi ya Lowasa na mpiga deal wa kasi kubwa .
HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA. MH.NAIBU WAZIRI NA MBUNGE WA SEGEREA LEO ASUBUHI WAKATI AKITOKEA KLWAKE NA KUELEKEA OFISIN AMEJIKUTA AKIZOMEWA SANA NA WANANCHI WA JIMBO HILO HUKU WAKISEMA ANAETOSHA JIMBO LA SEGEREA NI MH. SCHOLASTIKA KEVELA AU KWA JINA MAARUFU MAMA YONO.
WANASEMA YULE MAMA NI MTU WA WAWATU ANAYEJUA HOMA ZA WANASEGEREA.
Mimi ni mkazi wa jimbo la segerea kiukweli huyu mbunge sjui hata cha maana alichowahi kukifanya jimboni.
Kweli mkuu,kwanza hatutaki uongozi wa kurithisana mtu na mkewe..
Mume wake anaitwa YONO STANLEY KEVELA alishakuwa mbunge.
WANA JF,
HATIMAYE NAIBU WAZIRI WA KAZI NA MBUNGE WA SEGEREA KAZOMEWA NA WANANCHI KAMA MWIZI NA KUMWAMBIA AMESAHAU NINI SEGEREA?
WANANCHI WA SEGEREA WANAMUHITAJI MH. SCHOLASTIKA KEVELA ALIONGOZE JIMBO LA SEGEREA 2015.
WANASEGEREA HAO WAMESEMA MAHANGA ALISEMA ALIPITA KWA ELA ZAKE SASA AZIAMBIE HIZO PESA ZAKE ZIMPIGIE KURA ILI AWE MBUNGE TENA WA JIMBO HILO NA SIO WANANCHI.
WANANCHI WAMESEMA MAKONGORO BYE BYE. MAMA SCHOLASTIKA KEVELA MTU WA WATU NA MPENDA MAENDELEO MWENZAO KARIBU JIMBONI TUSAIDIANE KULETA MAENDELEO JIMBONI SEGEREA.
WAKAENDELEA KUSEMA BONA KALUWA USITUCHEZEE AKILI ZETU NA HUO USANIII WAKO KWANI WEWE NA MAKONGORO LENU MOJA.
Hivi mleta uzi unamjua huyu mama au na wewe ulikunywa viroba wakati unaandika? au we ni mfanyakazi wa kampuni yake ya udalali ya YONO AUCTION MART? Kwaatarifa yako huyu mama hana sia za kuchukua jimbo la Segerea..aendelee kukamata wrong parking tu...mumewe jimbo la Njombe magharibi lilimshinda sasa naona wanataka wahangaikie Segerea
Kupitia chama gani? Maana habari ya Mjini ni ukawa
Kwanini asiende kugombea Njombe? huyo si mke wa x-MP wa Njombe bwana Yono? anamwogopa Eng. Lwenge! Segerea si kuna Mpandazoe au ameacha siasa?