Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

Huu ujinga wa kusema watu wa eneo flani wanamtaka huyu umezidi sana siku hizi,niko segerea huyo unayemsema hata hatumjui.

Kweli mkuu,kwanza hatutaki uongozi wa kurithisana mtu na mkewe..

Mume wake anaitwa YONO STANLEY KEVELA alishakuwa mbunge.
 
HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA. MH.NAIBU WAZIRI NA MBUNGE WA SEGEREA LEO ASUBUHI WAKATI AKITOKEA KLWAKE NA KUELEKEA OFISIN AMEJIKUTA AKIZOMEWA SANA NA WANANCHI WA JIMBO HILO HUKU WAKISEMA ANAETOSHA JIMBO LA SEGEREA NI MH. SCHOLASTIKA KEVELA AU KWA JINA MAARUFU MAMA YONO.

WANASEMA YULE MAMA NI MTU WA WAWATU ANAYEJUA HOMA ZA WANASEGEREA.

photo.jpg

Siasa za kitoto sana. Unamzomea mtu yuko na familia kisa chuki za kudhani yeye ndio kakufanya ukose mali! Chuki za kijinga hizo. Hata huyo Mama Yono, akipata nafasi akajijenga kidogo mtammind tu, ndivyo mlivyo wabongo wenye mawazo ya kimaskini.
 
Mimi ni mkazi wa jimbo la segerea kiukweli huyu mbunge sjui hata cha maana alichowahi kukifanya jimboni.
 
Mimi ni mkazi wa jimbo la segerea kiukweli huyu mbunge sjui hata cha maana alichowahi kukifanya jimboni.

Kuna wakati nadhani mwaka jana mwanzoni nilipita jimbo hilo nikaona wakandarasi watano wakiwa kwenye maeneo matano tofauti kwa wakati mmoja wakijenga barabara za jimbo hilo. Sijawahi kuona hii jimbo lingine lolote. Mmoja alikuwa anajenga barabara ya St. Mary Tabata kwa lami, mwingine alikuwa anajenga barabara ya vingunguti hadi Baracuda, wa tatu alikuwa anajenga barabara ya Tabata Bima hadi Segerea nyangumi kwa lami, wa nne alikuwa anajenga daraja kubwa la Segerea/Kinyerezi pale gereza la Segerea na wa tano alikuwa anajenga barabara za lami Kinyerezi kwa Afisa Mtendaji wa kata. Hizi ni kazi za Mahanga. Hivi ulitaka aje afanye kazi chumbani kwako akiwa na mkeo usiku wewe ukiwa kwenye kazi zako za ulinzi kwa mhindi ndipo ujue kazi zake?
 
WANA JF,

HATIMAYE NAIBU WAZIRI WA KAZI NA MBUNGE WA SEGEREA KAZOMEWA NA WANANCHI KAMA MWIZI NA KUMWAMBIA AMESAHAU NINI SEGEREA?

WANANCHI WA SEGEREA WANAMUHITAJI MH. SCHOLASTIKA KEVELA ALIONGOZE JIMBO LA SEGEREA 2015.

WANASEGEREA HAO WAMESEMA MAHANGA ALISEMA ALIPITA KWA ELA ZAKE SASA AZIAMBIE HIZO PESA ZAKE ZIMPIGIE KURA ILI AWE MBUNGE TENA WA JIMBO HILO NA SIO WANANCHI.

WANANCHI WAMESEMA MAKONGORO BYE BYE. MAMA SCHOLASTIKA KEVELA MTU WA WATU NA MPENDA MAENDELEO MWENZAO KARIBU JIMBONI TUSAIDIANE KULETA MAENDELEO JIMBONI SEGEREA.

WAKAENDELEA KUSEMA BONA KALUWA USITUCHEZEE AKILI ZETU NA HUO USANIII WAKO KWANI WEWE NA MAKONGORO LENU MOJA.

photo.jpg

Jamani MPENDAZOE YUKO WAPI? Tumemmis Segerea. alinyang'anywa Ushindi
 
Hivi mleta uzi unamjua huyu mama au na wewe ulikunywa viroba wakati unaandika? au we ni mfanyakazi wa kampuni yake ya udalali ya YONO AUCTION MART? Kwaatarifa yako huyu mama hana sia za kuchukua jimbo la Segerea..aendelee kukamata wrong parking tu...mumewe jimbo la Njombe magharibi lilimshinda sasa naona wanataka wahangaikie Segerea
 
Mkuu naona huyu mtu amfahamu huyu mama au labda atakuwa ni mmoja wa wafanyakazi wake pale yono..Huyu mtu hafai kabisa na hawezi kuchukua hilo jimbo....kama wafanyakazi wa kampuni yake tu wanashindwa kulipwa ataweza kusidia jamii huyu si ndo atawanyonya hadi hakuna...Mwambieni huku segerea hatumwitaji kabisaaa.. ..arudi njombe..
 
Jimbo la Segerea wananchi wamemchoka Mahanga na kusema mwaka huu wanataka mabadiliko ya kumuweka mbunge mwanamke ambaye ni mh. Scholastika Kevela au mama Yono ambaye wamekuwa wakikata kuni wote na hivyo basi itabidi waote moto pamoja 2015.

SCHOLASTIKA KEVELA2.JPG
 
Kwanini asiende kugombea Njombe? huyo si mke wa x-MP wa Njombe bwana Yono? anamwogopa Eng. Lwenge! Segerea si kuna Mpandazoe au ameacha siasa?

Hili ni jimbo la Rachel Mashishanga wengine mnapoteza muda wenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom