Kaka Bado tu hujakoma! Magamba wenzio kwanza hawakutaki. Ukija huku CDM pia hawawataki Wanafiki. Shetani hakutaki, Mungu kakukataa, sijui utakwenda wapi? Mbona kazi zipo nyingi, kwani lazima uwe mwanasiasa!
Le mutuz ha ha ha ha ha ha ...... gombea tena upigwe chini tena kama Africa mashariki- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Katika kata 8 za Segerea CCM inaweza kuongoza kata 1 tu ya Kinyerezi na hiyo itategemea Chadema wamemsimamisha nani, maana Kinyerezi Waswahili wengi wameshahamishwa kule na wakaazi wengi ni wakuja na isitoshe Kinyerezi inaungana na Kimara na mbezi kwahiyo hata wao wakaazi wa Kinyerezi sasa watafahamu kwamba hatakiwi tena mbunge wa magamba.Magamba hawakubaliki sana jimbo la Segerea ni sawa na kibaka tu.
Willy unapochokoza mada kama hizi usikimbie kaa hapa tukufunde ili uwe na uwelewa wa kile unachotamani au kutaka kukifanya uwe na uhakika nacho.
Jimbo la Segerea ukiwa kama mgombea wa CCM kuna kata za Vingunguti, Buguruni, kipawa na kiwalani, kihistoria hili jimbo ni la Waswahili wa pwani hasa hizi kata nilizokupa orodha yake hizo kata kwa wanaCCM uzaramo na Uislamu ni moja ya advantage ya mgombea.
Kwa ninavyowafahamu mimi wanaCCM wenzako kwa jimbo hili unatwanga maji kwenye kinu, kuna mtu mmoja anaitwa Joseph Kessy yeye ndiyo alikuwa mwenyekiti wa kamati ya Maendeleo ya Tabata na Tabata unayoina leo ni mchango mkubwa wa Joseph Kessy lakini amegombea mara 2 mfululizo na huyu Makongoro hakufuwa dafu.
Sifa kuu na umahiri wa Makongoro anawafahamu fika wanaCCM wa jimbo hili kwahiyo yeye huwa anawaandalia bahasha zao basi mchezo unakuwa umekwisha
CCM jimbo la Segerea sasa hivi iko vipande vipande wana siasa za makundi kuliko CCM ngazi ya Taifa tofauti tu ni kwamba wao hawapati coverage ya media.
Usitake kuvuna ambacho haujakipanda nakushauri ufanye research kule kwenu Mtera tatizo lao kubwa ni nini na uanze kuwatatulia hayo matatizo kabla hata ya kugombea, hii ndiyo njia aliyoitumia George Simachawene kule kwao Kibakwe licha ya kwamba yeye tunaishi jimbo moja la Segerea na anakaa kata ya Vingunguti.
Katika kata 8 za Segerea CCM inaweza kuongoza kata 1 tu ya Kinyerezi na hiyo itategemea Chadema wamemsimamisha nani, maana Kinyerezi Waswahili wengi wameshahamishwa kule na wakaazi wengi ni wakuja na isitoshe Kinyerezi inaungana na Kimara na mbezi kwahiyo hata wao wakaazi wa Kinyerezi sasa watafahamu kwamba hatakiwi tena mbunge wa magamba.
Maana lengo kuu tunataka iwe ukipanga mipango ya maendelo ya Kimara na kinyerezi Bonyokwa basi inabidi umuite Mnyika na mbunge mpya wa Chadema tutakayekabidhi jimbo la Segerea then mnakaa nao kikao cha pamoja.
hahahha mkuu wewe subiri 2015 mtera huku utaaibika mkuu!- kwa maneno mengine ni jimbo langu, i grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, i pray for my good friend mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @dsm city!
itategemea unagombea kwa chama gani mkuu duru za kisiasa kwa wakati zinaonyesha hata baba wa taifa j.k akirudi leo hii akigombea kupitia ccm hata udiwani hapati samahani kwa kukupa taharifa hiyo inwezekana upo nje ya nchi ujui kinachoendelea hapa nyumbani- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
- So unasema kama nikigombea na tiketi ya CDM nitakuwa na nafasi kubwa kuliko CCM is that right?
Willie @DSM City!
Le mutuz ha ha ha ha ha ha ...... gombea tena upigwe chini tena kama Africa mashariki
Hakuna wa kukupitisha CHADEMA we jipange Mtera 2015 ukamtoe mtukanaji yule
Tatizo lako Willy bado unaishi kwa kuangalia kimvuli cha Baba yako wakati wewe unasahau tayari ni mtu mzima unayejuwa kupembuwa mazuri na mabaya na kama ungekuwa unajuwa japo kidogo kupima upepo wa kisiasa ni kwamba Jimbo la Ukonga (Segerea )halijawahi kupata mbunge bora zaidi ya Makongoro Mahanga.- So unasema kama nikigombea na tiketi ya CDM nitakuwa na nafasi kubwa kuliko CCM is that right?
Willie @DSM City!
Kupambana na CDM inahitaji maombi makuu. All the best lakini.- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
- Lakini CDM watanipitisha kugombea Mtera kwa former wao? haya nasikiliza sana mkuu!
Willie @DSM City!
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!