Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Baharia, unaweza kutueleza hapa JF sababu ya kifo cha Ipyana Malecela? maana naona unataka kutupotezea muda wetu na mambo ya kijinga.
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!

Es!
Field Marshal, jimbo la Segerea kuwa wazi soon? Unataka kumwua mbunge aliyeko? Au anaumwa? Mbona nimemwona majuzi akiwa bungeni akiwa mzima wa afya? This is serious!
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!

Es!
Plan B inatakiwa jimbo la Ubungo, siyo Segerea. Nasikia jimbo la Ubungo kesi imekaa vibaya sana kwa Mnyika. Hebu tujadili na kesi hiyo ya Ubungo, tuache kumwogopa Mahanga kiasi hicho. Jamaa akitaka kuchukua ubunge kwa mara ya NNE mwaka 2015, atachukua. Jamaa ni hatari! Ndiyo maana mnamjadili sana. upingeHamtaki awe mbunge miaka 20 hapa Dar es Salaam, lakini atakuwa.
 
Baharia, unaweza kutueleza hapa JF sababu ya kifo cha Ipyana Malecela? maana naona unataka kutupotezea muda wetu na mambo ya kijinga.

- Kwa nini usianze na jinsi ulivyouza kata ya CDM kwa Mahanga kwanza kwenye uchaguzi uliopita kwa hela ndogo sana! ha! ha! ha! ha!

Es!
 
- Ilikuwa ni political speculation, ndio hasa kazi yetu hapa JF, nothing to do na chuki wala wivu kwa kiongozi yoyote!

Es!
 
Unaweza kutuambia kesi ikoje? Au unasoma tu magazeti fulani fulani na kusoma JF?
 
- Kwa nini usianze na jinsi ulivyouza kata ya CDM kwa Mahanga kwanza kwenye uchaguzi uliopita kwa hela ndogo sana! ha! ha! ha! ha!

Es!
Kumbe CCM huwa inanunuwa kata na majimbo wakati wa uchaguzi!! Asante sana kwa taarifa, sasa na wewe ulishindwaje kuununuwa Ubunge wa Afrika Mashariki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…