Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?


Te! he! 'hatuogopi FEAR'! English is vere!!
 
Porojo nyingiiiiiiiiiii.......
 
Wakuu kumbe mmeanza mbali! Naona leo ni Matola na Balatanda dhidi ya @NYC. Sijamuona Waberoya. Hii inanikumbusha uzi fulani ambapo @NYC na Wabe walivyopambana hadi wakaishia kwenye Ban!
 
- Kukujua ili iwe nini? Wewe ndiye umesema hata Facebook yangu upo kwa majina ya bandia, mimi sina muda huo maana sihitaji anything from you, zaidi ya kukuonea huruma tu jinsi unavyokimbia kivuli chako!

Willie @DSM City!
Mmmmm....:doh:
 
Wakuu kumbe mmeanza mbali! Naona leo ni Matola na Balatanda dhidi ya @NYC. Sijamuona Waberoya. Hii inanikumbusha uzi fulani ambapo @NYC na Wabe walivyopambana hadi wakaishia kwenye Ban!
Hatupambano mkuu......Hivi ni vijimambo tu vya JF...........Ongeza na FMES
 
Matola,

Asante nimekupata!
Kama umenipata badilika, sijaona tija yako kama mbunge kutoka chama makini, kumbuka sisi wengine tumetumia rasilimali zetu nyingi kuhakikisha Chadema inapata kura nyingi na ndio maana upo Bungeni.

Halima Mdee alipata sifa nyingi akiwa Mbunge wa viti maalum kabla ya Wananchi wa Kawe kumchaguwa, hapa unaongea na kimvuli lakini nasikia uchungu kuona unatoka kwenye jimbo langu la Segerea na sikulala kwa siku zote 5 za kufuatilia matokeo mpaka Anatouglo nione unalala usingizi bungeni.

This is ur wake up call, i will call spade a spade, kwa kifupi sijafurahishwa bado na ushiriki wako kama Mbunge kutoka chama makini. 2015 wote wasiokuwa na tija ni lazima wang'oke huu ni wakati wako na bado hujachelewa.
Am sory for that, ni kweli tu ndiyo itatuweka huru.
 
Anadai ana nyumba na shamba Kinyerezi................

What a cr@p............A Holy cr@p...

- Sio hilo tu, nimeishi kule ni my home so ikitokea jimbo lipo wazi ni haki yangu kugombea nikitaka kwa sababu nitakuwa ninakidhi matakwa yote, nina shamba kule pamoja na nyumba, nimekulia kule, ninawajua wananchi wengi sana wajimbo, ninalipia kodi kata, na ninajua matatizo mengi ya jimbo kwani bado ni yale yale toka nikiwa mdogo mapka leo!

So relax bro!

Willie @DSM City!
 
Kila la heri........
 
Hatupambano mkuu......Hivi ni vijimambo tu vya JF...........Ongeza na FMES
Mkuu nimeona mpambano wa hoja. Naona FMES kachokoza mada kwa makusudi kabisa. Nimemiss Waberoya manake lazima angechangia hapa.

Katika mada kama hizi mimi hukaa kando. Mkuu naona kama PM anakaribia kuhutubia Bunge. Ngoja niwaagize watoto waniletee tangawizi na kiti cha uvivu nisikie anasema nini.
 
Last edited by a moderator:

Dar es salaam hakuna Mashamba, kwa sheria za vijiji Dar es salaam vijiji vilishafutwa, kwakuwa wewe mwenzetu si mkazi wa Jiji ili ningependa nikukumbushe uende Wizara ya ardhi otherwise ilo unalodai kama ni shamba utanyang'anywa na wanachi wenye uhitaji wa viwanja watagawiwa viwanja.

Kwenye hili tu peke yake umepoteza umakini thats why unapoambiwa unatakiwa ujifunze current affairs za nyumbani wewe unakuwa mmbishi.

Hivi is it possible kusema kwamba nina shamba @City of New York?
 

Kazi kweli kweli eti Pinda anawapongeza Simba kwa kuingia round ya 3 wakati ukweli ni kwamba Simba imeingia round ya 2 na sidhani kama mambo ya Simba kulikuwa na mtu yeyote makini anataka kuyasikia hata kama ni mpenzi wa Simba.

Nasubili sasa atangaze Serikali kusikitishwa na msiba Wa Kanumba. Nchi hii jamani!!......
 
Hivi wili anavyosema kuwa watu wanamuogopa ana maana gani? Badala afanyie kazi mawazo anayopewa na Magreat thinkers yeye bado anabisha tu na kudai anaogopwa! Huyu jamaa sidhani hata darasani alikuwa anaelewa kitu!
 

hahahahaha hata kwenye kura za maoni ukijtokeza mwenyewe sure wana ccm watapga kura za maruani.kamwe awatakuchagua
 

- Mkuu melezo yanaonyesha ni mgeni huko Segerea, Mashamba yalipimwa siku nyingi sana kabla hatujapewa hati, I understand kwamba wewe ni kiongozi wa level flani hivi huko kata, lakini kwangu it does not matter at all nikiamua kugombea I could careless cause nalijua jimbo kuliko unavyofikiri.

- HOWEVER; jimbo ni mali ya wananchi ndio watakao amua nani awe nani, nasikia kwenye uchaguzi uliopita uliwauza wenzako kwenye kata, yaani uliwa-betray CDM, unaona n ilikwambia mimi mwenyeji huko kuna wenyeji humu wanaonijua na kukujua wamenza kunipenyezea info zako, ingawa sizihitaji sana lakini atleast ni kujua tuna-deal na nani hapa.

karibu sana bro, na jioni kesho ninakuja huko nitakutafuta, wewe mwenyewe umejisema wee mpaka mwisho wenyeji waliopo hapa wameniambia wewe ni nani, so kesho jioni nitakutafuta so we can talk ahata bila kugombea anything!

MUCH RESPECT!

wILLIE @DSM City!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…