Jimbo la Prof.Kapuya ukawa wachanua

Jimbo la Prof.Kapuya ukawa wachanua

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,237
Nitaarifa tu huko mambo si shwari kwa Ccm uchaguzi wa marudio uliopigwa tarehe 21 cuf vijiji 5,chadema 19,Ccm 47 na 2009 cdm hawakuwa na kijiji hata kimoja cha dawa.isitoshe cdm imeingia nyumbani kabisa kwa Prof .yaani wanavijiji wameelewa cheusi kipi na chekundu kipi.tena hapo Mjini kaliua wamekomba vijiji vyote wanaukawa.tutaheshimiana
 
tunaomba matokeo ya vijiji vilivyo fanya uchaguzi co vya kupita bila uchaguzi
 
Mohamed Kapufi anafaa kuliongoza jimbo hilo.

WanaKaliua wazee kwa vijana, wana matumaini na kijana wao Bwana Kapufi ili kuwakomboa.

Kapuya kabwaya sana.Muda wa Kapufi huu
 
Wamechanua nini wamesaula nguo au wamechanua nywele.
 
Kesi yake ya kuzaa na mwanafunzi iliishia wapi? Huyu mzee uzinzi umammaliza.
 
Ukawa ongezeni nguvu pia wilaya ya nzega. Tatizo timuya chadema iliyokuwepo toka 2010 haikuwa active kuwasimamia vijana na wazee kupata kadi za uanachama na kufungua matawi vijijini. Mwaka 2011 nilipita vijiji vingi na kukuta vijana wanangoja uongozi wa chadema tu wajiunge na nilienda hadi kwa katibu wa chadema wilaya na kumweleza fursa hiyo. Bahati mbaya mwaka huu nimewasiliana na vijana wa vijiji hivyo wakasema hawajawahi kumuona kiongozi yeyote wa chadema na hivyo hawakuweza hata kusimamisha wagombea na kuifanya ccm ipite bila kupingwa.
 
Kata ya kazaroho yenye vijiji 6 chadema. Vijiji vyenyewe vijiji kweli!! Huko escrow wanaita ekoloo. Lakini pamoja na hayo wamekomaa kinoma. Kaliua mjini kata ya Ushokola cuf imebeba sana na upande mwingine chadema imeadabisha. Kata ya Igagala huko chadema imetunisha misuli. Bila shaka Kapuya hatagombea tena. Maana hata inzi wa Kaliua wamemchoka.
 
Duh!! hiyo ya kuchokwa hadi na inzi ni noma inamaanisha hata akinya mavi yake hawayafuati.
 
Jamani ni kweli ukawa wamefanya vizuli
Ukiangalia matokeo ya urambo mjini
Anapotoka samweli sitta....
Ukawa hawakuwai kuwa na mtaa..

Mtaa wa majengo ya tabora
Cuf ....
Mtaa wa urambo wa kati
Chadema
Mtaa wa boma village ...
Chadema

Mtaa wa stesheni
Cuf

Mtaa wa ukombozi

Ccm

Mtaa wa madoto chini
Ccm

Mtaa wa madoto juu
Ccm

Mtaa wa urambo sokoni
Chadema

Mtaa wa block q kwa patel
Cuf

Mtaa wa urambo uzunguni
Ccm

In short napenda kuwapongeza wana urambo wote mjini...

Na pongezi zote zimuendee mama magdalena sakaya..... toka cuf
Na mzaliwa wa urambo block q
Kazi aliyoifanya ni kubwa sana

Kampeni aliyoipigaa aisee imebadilisha hali
Mpaka tumepata mitaaa
 
Ninaomba kujulisha mwenge ccm walibadilisha matokeo mchana kweupe badala ya kusoma mshindi wa chadema kashinda akasoma wa ccm kashinda ninaomba kujulishwa limeisha vp hili suala ni hatuwa gani zimechukuliwa kwa msimamizi wa uchaguzi!
 
UKAWA nendeni vjijini achaneni na escrow kwakuwa wananchi wataamua .Kushinikiza watu wachukuliwe hatua ni kuisafisha ccm
 
mohamed kapufi anafaa kuliongoza jimbo hilo.

Wanakaliua wazee kwa vijana, wana matumaini na kijana wao bwana kapufi ili kuwakomboa.

Kapuya kabwaya sana.muda wa kapufi huu

wapambe utawajua tu. Wenzako hawataki ccm wewe unasema eti kapufi.
 
Nitaarifa tu huko mambo si shwari kwa Ccm uchaguzi wa marudio uliopigwa tarehe 21 cuf vijiji 5,chadema 19,Ccm 47 na 2009 cdm hawakuwa na kijiji hata kimoja cha dawa.isitoshe cdm imeingia nyumbani kabisa kwa Prof .yaani wanavijiji wameelewa cheusi kipi na chekundu kipi.tena hapo Mjini kaliua wamekomba vijiji vyote wanaukawa.tutaheshimiana

sijui kama unajua hesabu. CCM VIJIJI 47 HUKU UKAWA VIJIJI 24. JIMBO BADO LA KAPUYA KWA HALI HII. KAMA UKAWA WANALITAKA WAFANYE KAZI YA ZIADA.
 
Nchi hii hata aibu hatuna huyu naye baado mbunge? SASI JABELA MITYE.Wasalimie SIMON GROUP.
 
Back
Top Bottom