Jimbo la Nyamagana kurudi CCM-2015

Jimbo la Nyamagana kurudi CCM-2015

Jamani hali ya maisha ya wananchi imekuwa ngumu sana,hihyo CCM isitegemee kugawa t-shirt,kofia ,kanga na skafu alafu wapite kilaini.Ufahamu na uelewa wa siasa kwa wananchi umekua sana hivyo wasubiri maumivu tuu.Hakuna ushindi hapo

Unataka kuniambia mbinu hii haiwezi kufanikiwa tena?
ImageUploadedByJamiiForums1377182155.034669.jpg
 
Wapiga kura ndiyo wataliamua hili wala msipate shida kabisa subirini tuone za mwizi arobaini.
 
CCM isitarajie kupata hata jimbo moja kanda ya ziwa 2015
 
Unataka kuniambia mbinu hii haiwezi kufanikiwa tena?
View attachment 108498

Kaka hapo umeifanya cku yangu iende murua japo kwa kuwa wananchi tunaishi maisha magumu kwa 7bu za ufisadi wa magamba wakja na tshirt na kofia zao tuzichukue zitatusaidia kuvaa tuwapo mashambani maana kitaa hazilipi tena, ukitaka uzomewe mwanza au shy vaa nguo za rangi ya chainizi uingie mtaani, utajuta.
 
unakosea sana unaposema wana CCM Mwanza mjini niwachache,usidanganywe na hiyo mihemko ya kisiasa,siasa za Mwanza hazina tofauti Whirlwind

Wala si mihemuko km unavyodai shilatu na dialo ni walewale so kwa sasa mwanza hata umulete mwenyekiti wa chama cha ccm taifa asimame hata na mwanachama wa kawaida kabisa wa chadema kwenye jimbo la nyamagana au ilemela lazima mwenyekiti atashindwa labda kura zichakachuliwe
 
Hizo ni propaganda tu, kanda zilizoelimika kama hizo mtaishia kubweka tu
 
Mleta hoja hii yawezekana ni shoga au msagaji. ukitaja CCM Mwanza au Shilatu unaonesha jinsi ulivyo --------. CCM Mwanza ilishakufa enzi za Laurence Masha. Ila kwa Lamek Airo nakuunga mkono huyo jamaa hajui hata kusoma, sasa atafaiti vipi bungeni?. Wenje oyeeeee
 
Wala si mihemuko km unavyodai shilatu na dialo ni walewale so kwa sasa mwanza hata umulete mwenyekiti wa chama cha ccm taifa asimame hata na mwanachama wa kawaida kabisa wa chadema kwenye jimbo la nyamagana au ilemela lazima mwenyekiti atashindwa labda kura zichakachuliwe
Waambie shida ya nini? Wamlete hata Mkapa maana nadhani sheria inamkataza kugombea tena uraisi sio ubunge halafu watajua Mwanza ni nini. Hapa sio Tunduru au Pangani bwana.
 
majimbo karibu yote yaliyopo upinzani yatarudi ccm uchaguzi ujao kwa sababu wabunge wa upinzani hawajafanya kitu

Kweli watu wajinga mwisho wa lami, elewa jambo hapa, popote pale ambapo hapajawa na maendeleo sio kosa la mbuge....ni TATIZO LA SERA YA CHAMA KILICHOKO MADARAKANI AU UDHAIFU WA SERIKALI....harafu nakuomba uende shule, haiwezekani ukakosa akili kiasi hiki, wabunge wanahela za kufanyia maendeleo AU serikali ndio ina hela na wabunge husimamia matumizi yake, unataka wasimamie nini kama serikali haitowi hela za maendeleo...nyambaf
 
jidanganyeni hvyohvyo, ila naomba niwambien kuwa ccm ni kichwa cha mwendawazimu kisichojua dawa.
 
Hivi wewe unaijua mwanza na chadama'? Hata chadema tusimamishe sanamu lazma ipite kuliko kuwachagu ccm hata wakidondoshwa kutoka mbinguni..

Mkuu unadhani maccm yanaelewagaa....!!!!! Yani ni kama mazezeta flani....Yakiambiwa maeneo kama Arusha na Mwanza(few to mention) ni ngome Takatifu ya chama makini Chadema huwa hayaelewi.....
 
Lakini NYAMAGANA inatawaliwa na Cdm,Kwani Chadema hakuna wenje wengine mpaka ithibitike jimbo kwenda CCm kwa sababu ya Shillatu? {Ukichukulia kwamba wenje amefanya vizuri katika kupigania wananchi}
Sasa imethibitika rasmi kuwa Jimbo la Nyamagana jijini mwanza litarudi CCM bila kupepesa macho, taarifa za ndani ya CCM na

Chadema zinatanabaisha kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana ndugu Raphael Shillatu atagombea na anaungwa

mkono sana na wananchi wa jimbo hilo, habari za kina zinaeleza kuwa tayari Mbunge wa Nyamagana amepata taarifa hizo na

ameamua kwenda kugombea Jimbo la Rorya mkoani Mara ambalo nalo Mbunge wake wa sasa Ndugu Lameck Airo

amenukuliwa

mara kadhaa akisema kuwa hatagombea tena Ubunge mwaka 2015 anataka akae atulie asimamie biashara zake. Kwa ujumla,

kwa wale wanaomfahamu ndugu. Raphael Shillatu watakubaliana nami kuwa ni mtu wa watu, mpole na msikivu sana hapa

simpigii debe ila ukweli utabaki kuwa ukweli, Ndugu Wenje ni mzuri kwa maana ya kupigania maslahi ya wananchi wake huyu

kila mmoja anamfahamu na ameona kazi yake, huyu Airo kwa ujumla ameshindwa, ameshindwa kuzungumza bungeni juu ya

matatizo lukuki ya Rorya, Jimbo la Rorya kwa ujumla lina barabara kuu tatu, barabara ya MIKA-KINESI, MIKA-SHILATI, na

MIKA-SONJO au NYANGABHO. Lakini cha kushangaza hazina lami, lami imeishia Utegi hapo, Umeme kidogo upo ila baadhi ya

maeneo kama Utegi, shirati, kowack, buturi na huu umeme ameukuta! ameshindwa kuwasilisha kilio cha wananchi wake

kuwa umeme usogezwe katika maeneo ambayo haujafika kama Kuutoa NYAROMBO na kuupeleka MANILA, MUHARANGO,

NYAMAGARO, NYANGABHO, NA SONJO!! yeye amejitahidi kutoa mabati katika shule mbalimabli jimboni humo, Maji nayo

ameshindwa kujenga hoja bungeni ili serikali iangalie uwezekano wa kupeleka maji, cha ajabu toka aingie Bungeni ameuliza

au kuchangia mara moja tu, maswali mengine amekuwa akimpa mbunge wa tarime Nyambali Nyangwine amsaidie kuuliza.
 
Back
Top Bottom