Jimbo la Nyamagana kurudi CCM-2015

Jimbo la Nyamagana kurudi CCM-2015

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Sasa imethibitika rasmi kuwa Jimbo la Nyamagana jijini mwanza litarudi CCM bila kupepesa macho, taarifa za ndani ya CCM na

Chadema zinatanabaisha kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana ndugu Raphael Shillatu atagombea na anaungwa

mkono sana na wananchi wa jimbo hilo, habari za kina zinaeleza kuwa tayari Mbunge wa Nyamagana amepata taarifa hizo na

ameamua kwenda kugombea Jimbo la Rorya mkoani Mara ambalo nalo Mbunge wake wa sasa Ndugu Lameck Airo

amenukuliwa

mara kadhaa akisema kuwa hatagombea tena Ubunge mwaka 2015 anataka akae atulie asimamie biashara zake. Kwa ujumla,

kwa wale wanaomfahamu ndugu. Raphael Shillatu watakubaliana nami kuwa ni mtu wa watu, mpole na msikivu sana hapa

simpigii debe ila ukweli utabaki kuwa ukweli, Ndugu Wenje ni mzuri kwa maana ya kupigania maslahi ya wananchi wake huyu

kila mmoja anamfahamu na ameona kazi yake, huyu Airo kwa ujumla ameshindwa, ameshindwa kuzungumza bungeni juu ya

matatizo lukuki ya Rorya, Jimbo la Rorya kwa ujumla lina barabara kuu tatu, barabara ya MIKA-KINESI, MIKA-SHILATI, na

MIKA-SONJO au NYANGABHO. Lakini cha kushangaza hazina lami, lami imeishia Utegi hapo, Umeme kidogo upo ila baadhi ya

maeneo kama Utegi, shirati, kowack, buturi na huu umeme ameukuta! ameshindwa kuwasilisha kilio cha wananchi wake

kuwa umeme usogezwe katika maeneo ambayo haujafika kama Kuutoa NYAROMBO na kuupeleka MANILA, MUHARANGO,

NYAMAGARO, NYANGABHO, NA SONJO!! yeye amejitahidi kutoa mabati katika shule mbalimabli jimboni humo, Maji nayo

ameshindwa kujenga hoja bungeni ili serikali iangalie uwezekano wa kupeleka maji, cha ajabu toka aingie Bungeni ameuliza

au kuchangia mara moja tu, maswali mengine amekuwa akimpa mbunge wa tarime Nyambali Nyangwine amsaidie kuuliza.
 
Huenda huijui nyamagana au jiji la mwanza kwa ujumla, hata kama wenje ataamua kwenda rorya kugombea japo sina imani hiyo,jimbo la nyamagana haliwezi kwenda ccm hyo haitatokea,shilatu anakubalika kwa wanaccm tu ambao ni wachache mno cku hizi hapa mjini anyway wape moyo wanaccm.
 
Hivi wewe unaijua mwanza na chadama'? Hata chadema tusimamishe sanamu lazma ipite kuliko kuwachagu ccm hata wakidondoshwa kutoka mbinguni..
 
CCM hii iliyopoteza mvuto katika majiji yote ya Tanzania?Your analysis is completely poor!!!!!
 
Thanks for a detailed and a well reaserched article,tell others at Lumumba to do the same for UBUNGO and KAWE
 
Subiri 2015. Au unafurahia kupost Jf.
 
Tunazungumzia Rasimu ya Katiba na si upuuzi wa CCM
 
Ni kweli Raphael shilatu,anakubalika lkn wanaomkubali ni waccm,kwa nyamagana ccm kuchukua jimbo labda wachakachue matokeo au watumie nguvu, nasikia awamu ijayo mnakuja na sera za usukuma kwanza,mtapigwa tu! CCM hana chake Nyamagana na kwataharifa yako Wenje aendi Rorya,atabanana hapahapa Rorya kashapatikana mwingine,afu acha kumponda Lakairo jamaa kafanya makubwa sana kwake kwani akuitegemea serikali alitumia sana pesa yake kwa maitaji ya wananchi wake.
 
Sasa imethibitika rasmi kuwa Jimbo la Nyamagana jijini mwanza litarudi CCM bila kupepesa macho, taarifa za ndani ya CCM na

Chadema zinatanabaisha kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana ndugu Raphael Shillatu atagombea na anaungwa

mkono sana na wananchi wa jimbo hilo, habari za kina zinaeleza kuwa tayari Mbunge wa Nyamagana amepata taarifa hizo na

ameamua kwenda kugombea Jimbo la Rorya mkoani Mara ambalo nalo Mbunge wake wa sasa Ndugu Lameck Airo

amenukuliwa

mara kadhaa akisema kuwa hatagombea tena Ubunge mwaka 2015 anataka akae atulie asimamie biashara zake. Kwa ujumla,

kwa wale wanaomfahamu ndugu. Raphael Shillatu watakubaliana nami kuwa ni mtu wa watu, mpole na msikivu sana hapa

simpigii debe ila ukweli utabaki kuwa ukweli, Ndugu Wenje ni mzuri kwa maana ya kupigania maslahi ya wananchi wake huyu

kila mmoja anamfahamu na ameona kazi yake, huyu Airo kwa ujumla ameshindwa, ameshindwa kuzungumza bungeni juu ya

matatizo lukuki ya Rorya, Jimbo la Rorya kwa ujumla lina barabara kuu tatu, barabara ya MIKA-KINESI, MIKA-SHILATI, na

MIKA-SONJO au NYANGABHO. Lakini cha kushangaza hazina lami, lami imeishia Utegi hapo, Umeme kidogo upo ila baadhi ya

maeneo kama Utegi, shirati, kowack, buturi na huu umeme ameukuta! ameshindwa kuwasilisha kilio cha wananchi wake

kuwa umeme usogezwe katika maeneo ambayo haujafika kama Kuutoa NYAROMBO na kuupeleka MANILA, MUHARANGO,

NYAMAGARO, NYANGABHO, NA SONJO!! yeye amejitahidi kutoa mabati katika shule mbalimabli jimboni humo, Maji nayo

ameshindwa kujenga hoja bungeni ili serikali iangalie uwezekano wa kupeleka maji, cha ajabu toka aingie Bungeni ameuliza

au kuchangia mara moja tu, maswali mengine amekuwa akimpa mbunge wa tarime Nyambali Nyangwine amsaidie kuuliza.

Huyo shilatu ndio nani mbona hatumfahamu.anafanya kazi gani au biashara gani mwanza.
 
wenje na chadema yake kwishney....bye bye wenje, mzee wa ushoga
 
Jamani hali ya maisha ya wananchi imekuwa ngumu sana,hihyo CCM isitegemee kugawa t-shirt,kofia ,kanga na skafu alafu wapite kilaini.Ufahamu na uelewa wa siasa kwa wananchi umekua sana hivyo wasubiri maumivu tuu.Hakuna ushindi hapo
 
Huenda huijui nyamagana au jiji la mwanza kwa ujumla, hata kama wenje ataamua kwenda rorya kugombea japo sina imani hiyo,jimbo la nyamagana haliwezi kwenda ccm hyo haitatokea,shilatu anakubalika kwa wanaccm tu ambao ni wachache mno cku hizi hapa mjini anyway wape moyo wanaccm.

unakosea sana unaposema wana CCM Mwanza mjini niwachache,usidanganywe na hiyo mihemko ya kisiasa,siasa za Mwanza hazina tofauti Whirlwind
 
majimbo karibu yote yaliyopo upinzani yatarudi ccm uchaguzi ujao kwa sababu wabunge wa upinzani hawajafanya kitu
 
wao na maandamano, sisi na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na utatuzi wa kero za wananchi
 
Mngemjua mtoa mada hapo juu msingeweza poteza muda naye. Shiiida yake kubwa inayomtesa huyu ni UKABILA! hana lolote mp-uuzi wa tabia!

Nilikuwa mwanza hivi karibuni na hilo ndo chapuo lao CCM la ukabila kwa wanailemela na wananyamagana!
 
CCM hii iliyopoteza mvuto katika majiji yote ya Tanzania?Your analysis is completely poor!!!!!

tulia mnyolewe ww, yaliyompata raila na morgan tsavangirai yanakuja kwenu pia.
 
Sasa imethibitika rasmi kuwa Jimbo la Nyamagana jijini mwanza litarudi CCM bila kupepesa macho, taarifa za ndani ya CCM na

Chadema zinatanabaisha kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana ndugu Raphael Shillatu atagombea na anaungwa

mkono sana na wananchi wa jimbo hilo, habari za kina zinaeleza kuwa tayari Mbunge wa Nyamagana amepata taarifa hizo na

ameamua kwenda kugombea Jimbo la Rorya mkoani Mara ambalo nalo Mbunge wake wa sasa Ndugu Lameck Airo

amenukuliwa

mara kadhaa akisema kuwa hatagombea tena Ubunge mwaka 2015 anataka akae atulie asimamie biashara zake. Kwa ujumla,

kwa wale wanaomfahamu ndugu. Raphael Shillatu watakubaliana nami kuwa ni mtu wa watu, mpole na msikivu sana hapa

simpigii debe ila ukweli utabaki kuwa ukweli, Ndugu Wenje ni mzuri kwa maana ya kupigania maslahi ya wananchi wake huyu

kila mmoja anamfahamu na ameona kazi yake, huyu Airo kwa ujumla ameshindwa, ameshindwa kuzungumza bungeni juu ya

matatizo lukuki ya Rorya, Jimbo la Rorya kwa ujumla lina barabara kuu tatu, barabara ya MIKA-KINESI, MIKA-SHILATI, na

MIKA-SONJO au NYANGABHO. Lakini cha kushangaza hazina lami, lami imeishia Utegi hapo, Umeme kidogo upo ila baadhi ya

maeneo kama Utegi, shirati, kowack, buturi na huu umeme ameukuta! ameshindwa kuwasilisha kilio cha wananchi wake

kuwa umeme usogezwe katika maeneo ambayo haujafika kama Kuutoa NYAROMBO na kuupeleka MANILA, MUHARANGO,

NYAMAGARO, NYANGABHO, NA SONJO!! yeye amejitahidi kutoa mabati katika shule mbalimabli jimboni humo, Maji nayo

ameshindwa kujenga hoja bungeni ili serikali iangalie uwezekano wa kupeleka maji, cha ajabu toka aingie Bungeni ameuliza

au kuchangia mara moja tu, maswali mengine amekuwa akimpa mbunge wa tarime Nyambali Nyangwine amsaidie kuuliza.
Unapoandika vitu vijavyo weka na neno kama mungu akimuweka/akituweka hai hadi hiyo 2015 unajuwaje kama hao wote unaowataja ikiwemo mimi na wewe kama tutafika hiyo 2015
 
Back
Top Bottom