Jimbo la Mikumi kukombolewa

licha ya mapungufu mnayo yasema namuamini Nkya kama MTU mwema sijawah ona!
Huu ndio ukweli!
 

Umeeleweka dada
 
licha ya mapungufu mnayo yasema namuamini Nkya kama MTU mwema sijawah ona!
Huu ndio ukweli!

Amen mkuu
Hao ni wanafiki na wanna majungu

hawana lolote hao

Nkya n mtu makini
na sahihi kwa jimbo la mikumi
 
Kilichotokea mikumi ni hofu tu ya mkurugenzi wa kilosa na halmashauri yake katika suala la kutafuna pesa za serikali

Walimuogopa jonas nkya kwasababu ya uwakili wake wakaona atawabana katika suala zima la utafunaji wa pesa
Kwasababu kila kata ambapo kulikuwa na diwan msomi walikuwa wanahakikisha wanampiga chini na kuweka hao vilaza ili kulahisisha ulaji maana kila mwaka halmashauri ya kilosa ndio huandikiwa hati chafu kwa kutafuna pesa


Lakini mabogus wasiojua wat was the mission behind waashangilia UJINGA
 

Unaongea ujinga gani pumbavu wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…