Jimbo la Mikumi kukombolewa


kumbe ndomaana mgombea wako kashindwa ,ndo kakutuma uje jamii forum utafute kuungwa mkono,nakuapia mchaga hatutaki tena dalali analiza watu


 
uliza watu wa moro mjini kuhusu wasifu wa huyo nkya na utapeli wa magari.huo uwakili wake kesi gani alishiriki na akashinda?

Nkya ni wakili wa High court ana chamber yake pale mjini safi sana na vile vile alikuwa senior lecture wa law pale mzumbe akifundisha law.....
 

Ritz hamy D LizaBON Rutashobolwa Rweye njooni muone mchaga wa ccm mikumi..kila siku mnawaponda..vipi huyu wa ccm?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mkurugenzi, mteule wa Rais aliwahujumu CCM wenzake?! Acheni kutafuta weak points za kuonea watu! Mbona hamjaenda kupinga Arumeru? Mnataka kumsumbua Joseph Haule. Kabla ya uchaguzi mlitukuana hapa mkisema hana elimu, hana uwezo; Sasa leo ameshinda, mnasema ameweza hadi kumrubuni mkurugenzi?!! What a shame?!
 
Yani mkurugenzi ? Afanye hivyo? Tena na mpinzani? Tena kutoka Chadema? Inamaana alipingana na maagizo ya kikwete? Nkyaa ndugu Yangu jipange upya.
 

Mungu akulinde sana kwa kufichua ukweli .
 
 
uyo Mkya anapoteza hela tu .........Jay wa mitulinga ndo habari ya mikumi....muache jay alete maendeleo mikumi adhihirishe wasanii wa hip hop.wanaweza
 
Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik

Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.

haa haa sijaelewa. ina maana kesi ikiisha ushindi anapewa huyo wa ccm ama...
 
haa haa huo ubunge mbona anaukamia sana? itakuwa kahonga sana hela yake inamuuma....
 
Alimwaga sana hela tarehe 24 makamanda wakamstukia wakaanza kumtafuta wakamkuta maeneo fulani wakataka kumchomoa kwenye gari yake akatoa machine akapiga moja hewan watu wakatawanyika
 

Nkya ni kibaka mzoefu wa viwanja!
 
Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik

Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.


Aaaf nishakustukia Mkuu,wewe utakuwa ndio Jonas Nkya mwenyewe,pole sana mkuu,kuna maisha pia baada ya kushindwa uchaguzi,usikariri,Prof Jizee ndani ya Mjengo kama kawa atawawakilisha vilivyo tu wanaKilombero kama Jembe Marehemu Filikunjombe alivyowawakilisha wanaNjombe,R.I.P kwake

Ngoja tusubirie kesi tukawe mashahidi wa ushindi wa Prof.Jizee Mkuu
 
Mfano mdogo tu

Rais alietoka madarakan n wa ccm
Na aliepo ni wa ccm
Lakin mabadiliko unayaona

Tuma ubongo kufikiri

Una maana gani????

Ina maana CCM ni magufuli tu, kwani imekaa madarakani miaka 54, MBONA IMESHINDWA KUTEKELEZA AHADI ZAKE???

Ni kitu gani unaweza kutushawishi tuweze kuelewa kuwa mnaweza kuleta mabadiliko tunayohitaji???

Mlikaa mkatengeneza ILANI YA UCHAGUZI 2015 lakini imejaa ubabaishaji hakuna jipya katika ILANI ya CCM na ndio maana magufuli anatumia ILANI YA CHADEMA katika uongozi wake.

Hivyo tuna haki ya kusema kuwa Magufuli ni upande wa UKAWA na siyo CCM, Kwani angekuwa CCM angetekeleza ILANI ya CCM.

Soma hii:-
 
Ritz hamy D LizaBON Rutashobolwa Rweye njooni muone mchaga wa ccm mikumi..kila siku mnawaponda..vipi huyu wa ccm?


Tunawashangaa CCM na sera zao za Ukanda,

Wanasema kuwa Wachaga wote wapo CHADEMA na ndio wanakiita Chama cha Wachaga. Je na huyu NKYA yupo CHADEMA??


CCM hawana sera wameishiwa. Watueleze na huyu ni chama gani CHADEM au CCM????
 
Last edited by a moderator:
Unauliza makabila unataka kutambika?
Badilika we
Tunamtaka huyo huyo tuliemchagua
Nae n jonas estomih Nkya
Ukabila peleka UKAWA
hivi ile keso ya kutaka kulipuana bastola na Mama yake iliisha kweli? je utapeli wa magari siamini km atshinda hata 1020 CCM watafute mwingine tu
nawashauri mpumzike Mchagga kupata kura hapo kwa Waluguru ni ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…