Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa ukawa joseph haule (profesa feki) kwa kushirikiana na mkurugenzi wa kilosa
Kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la mikumi
Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa..sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi.
Matokeo halisi ni mgombea wa ccm
Wakili jonas Nkya alimzidi msanii joseph haule kwa tofauti ya kura 1130
#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.
Ni ule wizi, ulaghai na usanii uliofanywa na mgombea wa ukawa joseph haule (profesa feki) kwa kushirikiana na mkurugenzi wa kilosa
Kwa kuedit fomu ya matokeo ya mkurugenzi ya ubunge halisi ya jimbo la mikumi
Huku wakisahau kwamba kuna fomu zingine hubakia kwa kila karani wa chama cha siasa..sasa ulaghai huo umepingwa mahakamani na wapenda haki tunasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka jimboni hapa mikumi..
Matokeo halisi ni mgombea wa ccm
Wakili jonas Nkya alimzidi msanii joseph haule kwa tofauti ya kura 1130
#hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hatukumchagua.
jamaa yako nkya kashafukuzwa kazi mzumbe university sasa hv anaweweseka na ubunge,mwambie anamaliza hela zake bure,bwashee gani hata kujiongeza hawezi,kashapoteza rasilimali nyingi kwa sababu ya kuwekeza kny siasa sasa hv anataka kuzidi kupoteza mali nyingine tena,huyo wakili atamlia hela zake tu mwambie bora hizo hela akafungue biashara ya baa auze mbege
Wee nkya.. hesabu maumivu tu kaka.. mikumi huwezi kuipata kijanja janja.. umepigwa hvyo jipange na msimu ujao huu sio wako
Achilia mbali makaratasi feki mliyopeleka mahakamani, yan huyo jamaa hata uchaguzi ukirudiwa mara nne hawez kushinda.
Mnaisoma wenyewe #hapa kz tu, # unategemea huruma ya pilato wakati umegalagazwa?.. fyuuuuu