zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,829
- 8,619
mkuu naona mleta mada anatuchanganya tu, hayo matokeo nahisi kuna kauchakachuaji hapo, eti CUF wamekuwa wa mwisho, eti wamepitwa hadi na NCCR, ni pemba au moshi?Pole mkuu !
mkuu naona mleta mada anatuchanganya tu, hayo matokeo nahisi kuna kauchakachuaji hapo, eti CUF wamekuwa wa mwisho, eti wamepitwa hadi na NCCR, ni pemba au moshi?Pole mkuu !
mkuu kuna uchakachuaji hapo, CUF wa mwisho?
hahahahahaha! haiwezekani, mbona CCM wamesimamisha mgombea wao wa urais JMT na ameshinda yupo magogoni?Labda walimsimamisha mgombea mwenye kichwa cha nazi
Hatuna haja na wapemba kwani sisi 2natakaTanganyika ye2. BRAVO CHADEMA.Chadema iliponzwa na kukosa mtandao nchi nzima.hata sasa sijui mkakati wao upoje kabla ya 2015.miaka 4 kwa mikakati ya uchaguzi ni midogo sana!
mkuu kuna uchakachuaji hapo, CUF wa mwisho?
Mkuu;
Watanzania huchagua mtu, si chama, kwa hiyo inawezekana kabisa!
Mkuu Mageuzi Kweli,
Hii inaonyesha dhahiri Mgombea wetu aliuza haki ya wapiga kura kwa ccm
Easy tu hiyo mbona wakiibuka wenyewe hapa watakwambia ni typing error, huyo Sitti Ussi Shaibu Hakupata hata kura mmoja.
GREAT THINKERS?????????????????///
Pemba na CCM NA CHADEMA wapi na wapi? sijaskia hata udiwani kupata chama chengine badala ya CUF pekeeeeeeeeeeeeeee.
Tafakari kabla.
nimeona vijana wa cdm wamelegezwa baada kuletewa data kama kumbe pemba walishinda hapa ndipo naona pimo zuri kumbe wana wahitaji sana wapemba sema kuwa chagua cuf ndio chuki inapoanza. Jamaa kaleta changa la macho