UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,320
Huna hoja,.. Lema out...! Lowasa out....!
Acha kuendeshwa na ashki hoja ya nini ,nimekuambia nimekula hela za Ccm leo arusha ,unaniambia niweke picha nakuuliza picha ya nini unaniambia sina hoja ,wewe Lowasa anaingia ikulu mapema Sana na Lema ni kama nyoso hapa arusha kama ujui