Arusha mmetuangusha sana tumewashinda hata mbeya
Kimtazamo wa kampeni ziendavyo hapa jijini, CHADEMA inaonekana kama chama tawala kilichoshindwa kuunganisha makundi mbalimbali ya kijamii na kuleta maendeleo, mbunge anaemaliza muda wake Mh. Lema ameshindwa kujipambanua na kueleza kwa yakini ni nini amewafanyia watu wa arusha mjini, hoja zinazotolewa na wapinzani wake juu kudorora kwa maendeleo na biashara arusha zinaelekezwa kwa msheshimiwa Lema.
Mgombea wa CCM maarufu MONABAN ameweza kuteka makundi ya kina mama na vijana na ahadi za uwezeshaji na utulivu wa mji zina mmbeba, mgombea mwengine mwenye nguvu wa tatu anatoka chama cha ACT, NA bila shaka atagawa kura za upinzani. nguvu pekee ya Lema inatokana na nguvu ya mgombea urais ndugu Edward Lowassa ambae atapita kwa siku moja tu jimboni. wadau tusishangae jimbo la arusha mjini likirudi mikononi mwa ccm.
Mkuu hujaangushwa machalii Wa r wanakula hela za ccm ,kura zinapelekwa ukawa Oct 25 sio mbali utaamini
We jiandae tu kisaikolojia kuachia jimbo la Arusha sio udanganye eti vijana wamejitokeza kwa kulipwa! Nani kawalipa na malipo yamefanyikia uwanja gani maana kwa wingi ule ofisi yoyote haitoshi na kama walilipiwa uwanjani hiyo foleni ya malipo ilienda umbali gani na mbona hukuleta picha za foleni hiyo ya malipo na mabegi ya hela na mlipaji maana begi moja lisingetosha,.
Wewe mandazi nini unabisha nini wakati Mimi ni mmoja Wa vijana nliekula hela za Ccm Leo arusha
Kimtazamo wa kampeni ziendavyo hapa jijini, CHADEMA inaonekana kama chama tawala kilichoshindwa kuunganisha makundi mbalimbali ya kijamii na kuleta maendeleo, mbunge anaemaliza muda wake Mh. Lema ameshindwa kujipambanua na kueleza kwa yakini ni nini amewafanyia watu wa arusha mjini, hoja zinazotolewa na wapinzani wake juu kudorora kwa maendeleo na biashara arusha zinaelekezwa kwa msheshimiwa Lema.
Mgombea wa CCM maarufu MONABAN ameweza kuteka makundi ya kina mama na vijana na ahadi za uwezeshaji na utulivu wa mji zina mmbeba, mgombea mwengine mwenye nguvu wa tatu anatoka chama cha ACT, NA bila shaka atagawa kura za upinzani. nguvu pekee ya Lema inatokana na nguvu ya mgombea urais ndugu Edward Lowassa ambae atapita kwa siku moja tu jimboni. wadau tusishangae jimbo la arusha mjini likirudi mikononi mwa ccm.
Weka picha we kiazi.
lema anapita hao wana fiesta na msururu wa mgombea urais watapita na arusa itabaki na wapiga kura wake halali
Arusha imeamua leo.
Picha ya nini wewe chapati ?? Na kesho anasogea viwanja vya ngaresero na Alwatan Lowasa atakuwepo leganga
Mkuu kukosekana kwa amani arusha sababu ni selekali ya ccm.Kimtazamo wa kampeni ziendavyo hapa jijini, CHADEMA inaonekana kama chama tawala kilichoshindwa kuunganisha makundi mbalimbali ya kijamii na kuleta maendeleo, mbunge anaemaliza muda wake Mh. Lema ameshindwa kujipambanua na kueleza kwa yakini ni nini amewafanyia watu wa arusha mjini, hoja zinazotolewa na wapinzani wake juu kudorora kwa maendeleo na biashara arusha zinaelekezwa kwa msheshimiwa Lema.