JIMBO LA ALASKA (USA)

TESRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
421
Reaction score
422
kuna mambo yananipa utata kuhusu jimbo la alaska ( USA) linalopatikana kaskazin magarib nchi ya kanada.
1. kwanin nchi ya Russia iliamua kuliuza hili jimbo kwa nchi ya Malekani kwa kipind hicho ?.

2. inaonekana ni kama jimbo ambalo halisikiki sana tofaut na majimbo mengine ya Malekan ?.

3.kwann Canada isingekuwa ni mmiliki wa hiyo ardhi ya Araska kutokana na ukalibu wake tofaut na nchi ya malekan iliyo mbali na hilo jimbo ?.

4. Pia sjawai kuskia kiongoz yeyote mkubwa wa malekani kulitembelea hilo jimbo, au ni jimbo lililo sahaulika ? .


unaweza kutolea ufafanuzi wowote kuhusu hili jimbo la alaska .karibu sanan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wew ni mwanamke au mwanaume maana wanawake wa mbeya, singida nakanda ya ziwa sehemu ya hefufi " R" wao wanaweka " L" kaza ulimi andazi wewe unakera na maandishi haya umesoma shule gani wewe? kabla ya kupost ugoro pitia na kama umeshajiona ulimi na ubongo wako una hitilafu katika kuandika na kuongea herufi hizo basi tafuta watu wakusaidie

Haya nakupa zoezi uwe unarudia mara 50 ubongo wako utakaa sawa. MAGARI ....MAGARI....MAGARI .......SERIKALI.....SRERIKALI...SERIKALI
 
Hiyo simu yako unayotumia touch screen yake imepasuka? Nakushauri uandike upya thread yako ili niweze kuchangia maana Sijaelewa unachoongelea
 
Malekani au marekani? Kiswahili chenga sana kwako mkuu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu rekebisha uzi wako kidogo, wanajf wanapenda sana kukosoa kwa kejeli.

Unajuaje? Labda anatumia kifaa Cha buttons hivyo button ya R Ni mbovu inamlazimu atumie L ili kuleta maana ya neno,
Au screen yake mbovu, au kifaa chake kina autocorrect hivyo akiandika marekani inakuja malekani, Kuna vyanzo vingi vya kusababisha hivyo.

Sio vizuri kumkosoa mtu kwa kejeli, huku ukiwa hujui nini chanzo Cha tatizo, nguvu uliyotumia kukosoa kwanini usingeitumia kurekebisha? Ungepata hasara gani? Tuwe tunajaribu kuvaa viatu vya upande wa pili/kufikiria upande wa pili utajisikiaje?
vipi ingekutokea wewe ungejisikiaje?
Tuache ubinafsi tujifunze ustaarabu Africans.

Mkuu vuta subira wajuvi wanakuja.
 
Masikini mtoa mada thread yake imevamiwa na wakosoaji wa uandishi wake badala ya kujibiwa na kuelimishwa.

Yamkini mtoa mada alikuwa anataka kuelimishwa na kujua alichokusudia kukileta jukwaani lakini maharamia na mafedhuri yakamparamia kama simba mwenye njaa anavyomparamia nyati.

Tuache ujuaji jamani mtu kukosea herufi kisiwe chanzo cha kumfanya kuona jf sio sehemu sahihi kwake, kwani hakuna asiyekosea humu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na uhakika kwamba jimbo hilo halijawahi tembelea na kiongozi yoyote ni sawa na kuamini maji hayajawahi tembea kwenye ardhi .Kuhusu ivyo vingine kujibu ni vigumu kwani inaonekana umechukua story za mtaani .

GLU β„’
 
wewe msukuma eti?
Defeat in the Crimean War further reduced Russian interest in this region.Russia offered to sell Alaska to theUnited States in 1859, believing theUnited States would off-set the designs of Russia's greatest rival in the Pacific, Great Britain. Google, ufuatilie kila kitu utapata kukidhi haja ya moyo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeelewa maswali yake yaandike vizuri aweze kujibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
hao wanaomkosoa wamemuelewa na huenda hawana majibu ngoja waje wafaahamu wa mambo
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
JF ni kisima cha maarifa humu mengi yalisha jadiliwa na hata hili unalo taka lifahamu pia majibu hake yapo hum hum siku nyingne kama una tumia App ama web kuna sehem ya search pale juu kisha andika keyword ya kile unacho tafuta utaletewa majibu
pitia hizi topic mbili ndipo utapata majibu ya maswali yako


Alaska ilitawaliwa na Urusi
Sent using Jamii Forums mobile app


March 30, 1867: Kosa kubwa la Kihistoria walilofanya URUSI na kuwapa nafasi US kuwa Kiranja wa Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…