Jimama linanitega

Oya nimepewa gari niendeshe wana tunampitia shogae na mumewe sinza alafu twende kimala huko....nahisi nakua walu walu.....ndio naingia road kubwa mandera nielekee sinza...yeye anafunga zawadi hapo stationary....
 
we endelea kujilegeza tuu.. usije hapa ukasema umeba..wa lolz
 
Oya nimepewa gari niendeshe wana tunampitia shogae na mumewe sinza alafu twende kimala huko....nahisi nakua walu walu.....ndio naingia road kubwa mandera nielekee sinza...yeye anafunga zawadi hapo stationary....

wakuu dogo anatupotezea muda huyu:nono: anaomba ushauri gani sasa yeye aendelee kula bata na jimama tu si ndiyo maisha aliyochagua!!! ovyoooo
 
yeye ndio ananipa lift yupo bank hata sijamuuliza na jioni kaniambia twende sehemu kuna party....hivi nataka nitoke kibaruani niende home coz amesema saa moja tunaenda kunasherehe ya kumuaga nduguye anaolewa..

Ushaelekea kibla wewe. Kisu kinakuhusu!
 
Kuna dogo nimemwona yupo na jimama limefungasha balaa viuno vya Chausiku 2 mpaka nimwonea wivu dogo
 
Rais Kikwete alishasema mbona kuwa tuko milioni 44 na laki tisa. Mpaka leo ulikuwa hujajua tu?
 
Wajamen ndio namrudisha kwake akalale....ila na kazi maana nimeenda nae shughurini masho gaze full kunitumbulia jicho kuna jambo naona acha nilale bana asubui kolokoloni.
 

Party njema!!!!
 
tafuta nambazake thn ni2mie kwny inbox nikategue iyo mitego aliyokutega ukakimbia
 
Nimegundua unapenda sifa za kijinga!hauioni hatari iliyoko mbele yako?unataka kubemendwa wewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…