Jimama linanitega

Miaka ya 90 nilikumbana na mkasa kama wako jimama lenyewe lilikuwa linaanya kazi nasaco kipindi hiko kabla haijaungua pale waterfront kilichofuata nilimkomkomesha kwa kumpiga 0713 mpaka uharo

Hakunitafuta tena na njia akabadilisha nikasikia baadae alihamia mwanza

Haujawa inspired?
 
ah ah ah..! Una hatari weye. Karibu fire
 
Huna lolote na wewe uko interested na huyo mama, mawasiliano yote hayo na ukaenda hadi kwake !
We endelea na mipango yako au unampango wa kumchuna maana vijana wa siku hizi mh, wanaume kama mabinti!

hamna sema tumezoeana kutokana tunakutana sana hapa mtaani me naishi kwa wazazi insu zangu nafanya ndani ya familia ndio najipatia kipato cha kukidhi maisha na bia mbili tatu pa day pub na kitimoto mala moja moja sema yeye jioni anapenda kuja hapa neighbour pub hapa kivulini nampa offer na yeye ananitupiaga mbili tatu...sasa imefikia hata nisipo fika pub kesho yake wahudumu utasikia dada nanihiu jana kaja kakuulizia kanywa bia moja tuu amesepa anadai hamna company yake leo....na ukikutanana nae ananiambia hata nisipo kua na pesa me ninywe tuu
 
castle lite zaidi ya mbili pub halafu pale NNE NNE, so kama SABA hivi, dogo acha kutudanganya wewe UMESHAMEGAAA BANA tena NGINJANGINJA ila nakushauri baada ya miezi mitatu kapime kwa sasa achana nae kabsa.....
 

Basi ni company tu labda alitaka kukuonyesha kitu chumbani wewe ukaelekeza mawazo kwenye ngono. Ni rafiki huyo saidiana naye!
 
siku nyingine usikimbie. mkubalie halafu piga kote kote
 
Mala ukute ana wadudu wabaya,shauliyako,usikubali kutegeka blaza!
 
castle lite zaidi ya mbili pub halafu pale NNE NNE, so kama SABA hivi, dogo acha kutudanganya wewe UMESHAMEGAAA BANA tena NGINJANGINJA ila nakushauri baada ya miezi mitatu kapime kwa sasa achana nae kabsa.....

kumega sijamega coz yeye ni mnywaji na mimi mnywaji saba ni ndogo some tym tunapiga hata 15 kwenda mbele sema kila mtu na njia yake ikifika home coz hata namba za simu zake sina
 
yeye ndio ananipa lift yupo bank hata sijamuuliza na jioni kaniambia twende sehemu kuna party....hivi nataka nitoke kibaruani niende home coz amesema saa moja tunaenda kunasherehe ya kumuaga nduguye anaolewa..

Wewe kijana wewe,utaenda na maji,achana na majimama,atakua amewapanga ka treni iendayo kasi,kama unapenda maisha yako achana na habari za huyo mama kabisa,utakufa siku si zako haya!
 
Huna lolote na wewe uko interested na huyo mama, mawasiliano yote hayo na ukaenda hadi kwake !
We endelea na mipango yako au unampango wa kumchuna maana vijana wa siku hizi mh, wanaume kama mabinti!

Yani ameshamkubali kabisa moyoni mwake sa sijui sisi tumshauri vp,kama hamtaki kwenye party amekubali kwenda nae ki aje?we Kasuku mtu,shaurilo!
 
Piga mzigo ila hakikisha anatoa mpunga kama hela hatoi mteme yaan nn kutembea na mtu mkubwa acyefunguka watu wanamaisha wameyapata kwa watu kama hao,kinga muhimu au kapime nae
 
mlete kwangu nimshughulikie. i need extra moneys na majimama yana joto jingi 6x6 :-*
 
Poa wana tutaendelea maana naona kamuda ka kuchoka kwenda kwa party umefika....so yeye anasema anaijua jf ila sio memba asije akagutuka kwa kuunganisha vipande vya picha nitawajuza bidae nini kinaendelea?
Amesema anatoka getini kwake ananipitia apa home.....ila me nahatari mwenzenu?
 
Sasa mbona unaishia njiani..enh baada ya kukuuliza ulimpa jibu gani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…