Wapendwa habari za siku nyingi,
Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee acha tu. Kweli kuna mimama inajua kulea.
Je nyie hamjambo?
Kashaijabutege
kijana unapenda sana kulelewa eeeh,
alikuvisha na nepi kabisa, pampers je?...........................
Nenda loliondo kwa babu kwanza ukapime afya yako.
ukirudi utuletee "the loliondo wonders III"
Ungekuwa umeathirika ungesema?Nimeshapima. Niko fit kabisa.
Du, nimekumekutuma uje kusema hapa? Ukirudi utanitambua.