Waislam wanamtambua Isaya? Nipe AyaKaifata nuru na kaicha giza ISAYA 23:17
Source mkuu?#MaaShaAllah [emoji177][emoji177]
Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..
Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)
Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.
Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.
Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.
WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
KARIBU KATIKA UISLAMU [emoji1666]
Haki ipi wakati mnaua?Kaifata din ya haki
AminaAmeiacha kweli ambayo inamuweka huru, ameacha NURU na kuiendea GIZA.
YESU ni njia ya kweli na uzima.
Huyo ni wa kwanza kuslimu? Au kwa vile ni mwigizaji maarufu? Wangapi wanatoka Uislamu na kuwa wakristo? Tena aliyeslimu ni mwanamke?#MaaShaAllah [emoji177][emoji177]
Muigizajaji Wa Nollywood NCHINI NIGERIA Aitwaye Jim Ike Atangaza Ramsi Kuachana Na Dini yake ya UKRISTO na KUSILIMU na Kuwa Muislamu, Amefanya Uamuzi huu Baada Ya Kusoma VITABU Kwa Kina Na Kubaina Mambo ambayo ni kinyume na UKRISTO..
Usiogope KUFUATA Haki Ilipo, Usiogope Familia au JAMII, Tambua Siku ukiwekwa Kaburini Hakuna Ndugu takae kuja Kukaa na wewe Kaburini, Wala hakuna Rafiki Atakae kutetea Siku umesimamishwa kwenye Mahakama ya Mwenyezi Mungu. Kila Mtu ataitetea Nafsi yake na moto (QURAN 66-6)
Fuata Haki Kwa Ajili ya Allah jalallah. Usiogope Familia au JAMII itakutenga KISA Umekuwa Muislamu, Bora Utengwe na Familia na JAMII lakini Usitengwe na Mwenyezi Mungu.
Ukitengwa na Mungu Maana yake Utakuwa mbali na Rehma zake.
Acha kukaririshwa Chuki Katika Nafsi Kuhusu UISLAMU. TAFUTA VITABU soma mwenyewe.
WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
KARIBU KATIKA UISLAMU [emoji1666]
Huwa wanasema Biblia imeharibiwa na Wakristo,ila wakitaka kutetea hoja zao wananukuu hiyo hiyo Biblia. Hawa ndugu zetu sijui km wanajitambua.Waislam wanamtambua Isaya? Nipe Aya
Ukimzidi hoja anakuita kafiri! HahahahaaHuwa wanasema Biblia imeharibiwa na Wakristo,ila wakitaka kutetea hoja zao wananukuu hiyo hiyo Biblia. Hawa ndugu zetu sijui km wanajitambua.
Deborah kawakosea nini mpaka memuua?#MaaShaAllah [emoji177][emoji177]