NMB Tanzania
Official Account
- Sep 13, 2014
- 94
- 232
Mkuu hakuna cha bureHaina makato? Haina riba?
Yaani wakusaidie tu bila sababu maalum???Haina makato? Haina riba?
Kwa hiyo ni ka kitega uchumi kengine wanatengeneza!Yaani wakusaidie tu bila sababu maalum???
NMB fungukeni mnakata shilingi gapi (I mean charges zake zipoje) kwa vigezo gani na mnaiendeshaje! Biashara nzuri ni yenye uwazi!Tunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na kwa waajiriwa wa sekta binafsi ambao waajiri wao wana mkataba na NMB. Mshahara wako upitie katika akaunti yako ya NMB kwa muda usiopungua miezi mitatu na pia uwe umejiunga na huduma ya NMB Mobile.
View attachment 807112
Karibu sana,Haina makato? Haina riba?
Karibu uulize na tutakusaidia.hawatajibu maswali ya wadau
Haya si majibu bwana!...kama unataka tutembelee huko kwa nini wewe umekuja hapa kukutangazia na usingetangaza huko?
Achana nae anataka ufate huko ili akakupige fix kwanini hataki kujibu hapa?Duh kama wewe ndio ofisi imekuamini kuleta hizi taarifa hakika safari ni ndefu.
Kuna haja gani ya kuleta uzi hapa jamvini alafu unawaambia watu wapitie iyo link tena kwa nini usitoe tu majibu hapa hapa kwa faida ya JF
Asilimia kumiHaina makato? Haina riba?
Natambua fika kuwa post yangu hii haitawafurahisha ...lakini huko nyuma tulishawahi kulijadili hili hapa jamviniTunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na kwa waajiriwa wa sekta binafsi ambao waajiri wao wana mkataba na NMB. Mshahara wako upitie katika akaunti yako ya NMB kwa muda usiopungua miezi mitatu na pia uwe umejiunga na huduma ya NMB Mobile. Tembelea NMB Salary Advance - NMB Bank Plc. kujua vigezo na masharti.
View attachment 807112
hakuna maelezo yoyote huko nmb mobile zaidi ya kuletewa ujumbe kuhusu mwajiriTunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na kwa waajiriwa wa sekta binafsi ambao waajiri wao wana mkataba na NMB. Mshahara wako upitie katika akaunti yako ya NMB kwa muda usiopungua miezi mitatu na pia uwe umejiunga na huduma ya NMB Mobile. Tembelea NMB Salary Advance - NMB Bank Plc. kujua vigezo na masharti.
View attachment 807112
Mmesha ita watu wa interview kwa nafasi ya bank officer?
Hiyo ni kweli na hawatoi sababu!Hiyo Huduma NMB imewashinda kuna baadhi ya watu wakiomba salary advance wanakimbia,Ndugu mteja ombi lako halikufanikiwa tutakutaarifu zaidi ndani ya masaa 48,
Taarifa wametoa Head Office NMB lakini hakuna chochote walichokifanya