Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Mkuu mikono inachafuka unawai kitambaa unapangusa mikono alafu unawai kutype ili tupate vitu mubashara [emoji3][emoji3]

Alafu akatae kulala wallahi atatema hizo nyama [emoji23]

Eti ooooh leo naumwa [emoji23]
Pima na oil kabisa,, kuungua kote huko alafu apeperuke eti siku ingine[emoji12]

Baharia zile 4 za jana mgeuzie yeye

[emoji23][emoji23][emoji23] natania mkuu
 
Wakioa wanakuw awalemavu ghafla.
Madai yao kampeni imeisha[emoji134][emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuteb soma hii hapa kabisa kabla mambo hayajaharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…