Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,443
- 46,201
Duh wewe unaiba vitu vya home unauza. Eti awahi kabla ya jioni muda ambao wazazi watakuwa hawajarudi.Uwahi kabla ja jioni ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wewe unaiba vitu vya home unauza. Eti awahi kabla ya jioni muda ambao wazazi watakuwa hawajarudi.Uwahi kabla ja jioni ya leo
Nimecheka sanaDuh wewe unaiba vitu vya home unauza. Eti awahi kabla ya jioni muda ambao wazazi watakuwa hawajarudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nichek tufanye biasharaKama halina kazi nipatie mimi nina shida nalo, ntakuchangia 20k
Wabongo bhana.Kama halina kazi nipatie mimi nina shida nalo, ntakuchangia 20k