mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari wadau naweza pata jiko la umeme la dizaini hii kwa hapa tanzania na bei zake zipoje
Nakazia tu, aachane na hayo majiko ya kizamani (mivyuma vyuma/coils mingi juu) aende namfano wa hili hapa chini (induction cooker) ambalo pia ni rahisi kulisafisha.sio fanisi izo, zinakua na Watts 2000, lakini usable ni Watts buku
kwanini usitafute Induction Cooker double plates ?
Bongo yapo haya mkuuNakazia tu, aachane na hayo majiko ya kizamani (mivyuma vyuma/coils mingi juu) aende namfano wa hili hapa chini (induction cooker) ambalo pia ni rahisi kulisafisha.
View attachment 1637509