therealjoh
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 108
- 88
- Thread starter
- #21
Boss ukiwa na 160,000 nakuachia jiko mkuu.SEMA bei yako ya mwisho inayobebeka tukukwamue
Boss ukiwa na 160,000 nakuachia jiko mkuu.SEMA bei yako ya mwisho inayobebeka tukukwamue
115000Wakuu njoo na offer ya 150,000 unakwamue,nikuachie jiko.
Check PM yako boss120,000/ Ipo mfuko wa shati tafadhali!
Ubarikiwe.Nilinunua Jiko Plates 4 Kwa Tshs 100000/=
Kwenye Maonyesho Ya Syria Pale Diamond Jubilee
Made in German au?Ubarikiwe.
mchina uyo, kama ilivyo "mr. UK"Made in German au?
Haa😂😁😀mchina uyo, kama ilivyo "mr. UK"
haha, jiko liko poa sana kwa muonekano tu, nimependa izo burner zake,Haa😂😁😀
Mimi Nilinunua Ile Ilikuwa Inatoka Turkey
Boss jiko halijatumika,nilinunua kwa ajili ya matumizi binafsi ila nimepatwa na matatizo nahitaji pesa ya haraka.Kwanini unauza mkuu au linakusumbua?
Usipende kuongea kitu kama huna uhakika kumbuka wewe ni wa kiume boss.mchina uyo, kama ilivyo "mr. UK"
Yah boss ni German brand ya Selim.Made in German au?