Wewe unatumia jiko aina gani?Duh sina ufahamu zaidi ila kwangu mimi huwa ninaangalia zaidi aina ya gesi iliyo na urahisi zaidi wa upatikanaji.
OryxWewe unatumia jiko aina gani?
Oryx
kwa kua ni ww umesema bac ngoja nikalinunue aisee,,nakupendaaga tu,,najikuta napenda na kuamini chochote kutoka kwako jmn missieWest point anajitahidi
Hayo yako feki sana siku hizi lakinikwa kua ni ww umesema bac ngoja nikalinunue aisee,,nakupendaaga tu,,najikuta napenda na kuamini chochote kutoka kwako jmn missie
isizidi 150k mamaHayo yako feki sana siku hizi lakini
Ngoja nikutafutie jikozuri mkuu
Budget yako sh ngapi?