Jike au Dume?

Mwanaume shurti "red lingerie"......mwanaume shurti kuonyesha "some flesh".........:eyebrows::eyebrows::tongue:
 
Mtumbo kama karai. wanawake dizaini hii niliwaona darisalam pande za mtoni mtongani na mbagala. bora nijile vyangu huku Ukerewe
 
itakuwa mdada....ila kama dume basi anakamsumali pale mahali mbona hapaja tuna barabara!
 
Boflo... Aka bwabwa ...aka punga, aka loss.... Aka si riziki
 
Hilo ni dume ila tena lina ujauzito!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…