Jiji la Mwanza litakuwa kama Singapore

Jiji la Mwanza litakuwa kama Singapore

Mwambieni diwani wa buhongwa huku tunahitaji umeme mtaa wa nyakagwe mengine baadae
 
Sasa wapi kataja anataka kufanya mwanza iwe kama Singapore? Au unawashwa washwa wee mto Uzi??[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Eti huo ujenzi wa kibarabara kimoja ndo Mwanza itakuwa sawa na nchi ya Singapore!! Sijawahi kusikia mji unaitwa Singapore hapa duniani.
 
Kwa sasa Tuna Arusha ambayo imekua California na Tabora imekua Toronto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee
Na mwanza je imeshakua Singapore
 
Back
Top Bottom